Ni nani msafi CCM?

tuongelee kuoshwa kwanza...then tupige kura ni yupi atatakata vizuri na kirahisi
 
msafi chichiam? hayupo wala hata kaa awepo, wote ni wachafu, wao wenyewe wanajiita magamba, na mipango yao ni kujivua gamba ina maana wanajiamini ni wachafu na wananuka wote, sina wa kumpa kura ya usafi,
 
Steven Masatu Wasira.
Huyo ndie Mtu pekee ambae sijasikia shutuma dhidi yake.
 
Hapa hauwezi kupiga kura! Mtoa maada ulitakiwa u-sort watu kadhaa kisha utupe go ahead. Hapa wanajf wanatoa comments badala ya kupiga kura! Is this what you want??
 
Ni kweli,baadhi yao nimewataja lakini sijazuia watu kujadili na kuwaorodhesha na wengine,lengo ni kupata takwimu zaidi.
 
CCM ina nuka JK NYERERE, mwenye ccm kajisemea, huhitaji kuvaa miwani ili kuona uchafu wa viongozi wa ccm, nenda tawi lolote la ccm wanakotokea viongozi unao wajua kawambie unatangaza nia ya kugombea utashangaa mimacho inayotizami mfuko wako huna fedha hakuna uongozi ccm ni (NIPE NIKUPE)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom