Ni nani msafi CCM?

Apr 29, 2012
81
4
Binafsi nimekuwa nikapata ugumu katika kujua ni nani msafi ndani ya CCM,maanake kila ninae jaribu kumuona ni msafi napata taarifa kuwa ni mbaya sana,mfano:Samwel Sitta,Mwakyembe,Magufuli,Nape,Wasira,...na wengine,ghafla naambiwa hao nao si wasafi tena ni wanafiki tu.Kazi kwelikweli,Naomba tupige kura hapa!
 
Mie apa.. Yes

Labda ungefafanua usafi gani.. Kama ni Wa mavazi Mie naongoza all ways kuanzia CUF HADI NLD, PONA, UDP NA maeneo yote yote..

Ila Kama ni rushwa Ccm hakuna msafi.. Hata Kama Yupo kushachafuliwa siku nyingi yeye hajui tu.. Hakuna anayejiita Msafi huku amesimama katakati ya kinyesi
 
Tehe! tehe!umenikumbusha hadithi ya NOVEL moja inaitwa The Beautyful Ones Are Not Yet Born!kuna neno linaitwa CHICHIDODO yaani ndege anayekataa kula kinyesi lakini anakula wadudu walao kinyesi.
 
Hata uwe msafi vipi, shombo ya kijani na njano haitakuacha salama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom