NI nani huyu anayepandikiza chuki dhidi ya serikali?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kuna chuki imepandikizwa dhidi ya serikali yetu; chuki ambayo inawafanya watu wawe na hamu ya kuona serikali iliyoko madarrakani inaangushwa au kuanguka (collapse). Chuki hii inawafanya baadhi ya watu kufanya kila wawezalo kufichua uozo na uovu mbalimbali serikalini. Ni chuki hii inayowafanya watu hata kuamua kubadili uanachama kutoka chama tawala kwenda vyama vingine. Ni chuki ambayo inaonekana kuzidi kukua na kuongezeka kila siku ijayo.

Swali langu ni NANI HASA (mwenye wajibu wa kwanza kabisa) ANAYESABABISHA AU KUPANDIKIZA CHUKI HII?

a. Waandishi wa habari
b. Vyama vya Upinzani (wanasiasa wa upinzani)
c. Wanaharakati wa kisiasa (political activists)
d. Mitandao ya Kijamii
e. Serikali yenyewe
f. Vyote hapo juu!

Lakini swali la msingi ni jinsi gani mhusika huyo anapandikiza chuki hiyo?

Tukijua ni nani anapandikiza chuki tutatarajia hatua dhidi yake....
 
g. Aliyejenga madaraja- wenye pesa na wasionazo
 
nuksi zote alisababisha huyu

42314-004-677D1E59.jpg
 
honestly kuichukia serikali hii ni kutoitendea haki...

hii serikali ni 'victim of time'.......

the sands has shifted beneath na sasa ni almost too late to change anything

miaka kumi iliyopita ungsema 'The Muslim Brotherhood watatoa Rais wa Egypt'
hakuna ambae angeamini

ni siku za mwisho za CCM na hakuna anaeweza kubadili the shifting sands
 
Mkjj Mtamlaumu dobi bure kumbe kaniki ndio rangi yake...Hakuna yeyote anayepandikiza chuki dhidi ya Serikali bali ni Serikali yenyewe kwa kushindwa kutimiza ahadi zake chungu nzima, kutolinda utajiri wa nchi, kushindwa kuwachukulia sheria mafisadi wa mabilioni ya fedha miaka nenda miaka rudi. Na UDHAIFU huu mkubwa Serikalini ndio unaosababisha mpasuko mkubwa ndani ya magamba kiasi cha kutishia kusambaratika kwa chama hicho.
 
Sidhani kama kunachuki inapandikizwa Bali watu sass hivi wanajua haki zao na zinadaiwa vipi. Kumbuka pia hata wakoloni walikuwa wanajiuliza nani anapandikiza chuki wakati tunadai uhuru miaka zaidi ya 60 ilopita. Nakulikuwa na vibaraka wa wakoloni waliofikiri wananchi wanachuki na wakoloni. MM umesahau kuwa historia inajirudia?
 
nuksi zote alisababisha huyu

42314-004-677D1E59.jpg

majambo, CCM wanaelekea kuwa sura mbili, na kila sura inakinzana na nyingine. Utawasikia wanasema, "Mwl Nyerere alisema, bila CCM madhubuti nchi itayumba" Na ukuwaliza kwa nini sasa nchi inayumba? wao wanajibu, Mwl Nyerere ndiye kasababisha".
 
Serikali yenyewe, kwa kutokuwajibika. Imeshindwa kudeliver social services,wizi wa viongozi, rasilimali tunazo kwanini hatuendelei? Hii imefanya wananchi kuchoka na kuwa na chuki.
 
Wewe ni wa kwanza katika mafataani wa kujaza chuki dhidi ya Serikali.
 
Ni wale wanaokula fedha za walipa kodi na kujilimbikizia mali nyingi huku wananchi wakibaki hohehahe. Ni viongozi wa serikali dhalimu hii inayokumbatia mafisadi na kutuacha bila msaada sisi wananchi. Ni hawa wamepandikiza chuki kwa wananchi, mwisho wa siku watakiona cha moto.
 
nuksi zote alisababisha huyu

42314-004-677D1E59.jpg

Only the dead have seen the end of war...sisi wajuaji wa leo tunakomaje? Huku madokta, huku walimu, huku wamarekani ambao tunawapigia magoti na kuwatukuza huku ufisadi na rushwa...in short we are in mess.
That old man has nothing to do with the peril we have created for ourselves.
 
Kuna chuki imepandikizwa dhidi ya serikali yetu; chuki ambayo inawafanya watu wawe na hamu ya kuona serikali iliyoko madarrakani inaangushwa au kuanguka (collapse). Chuki hii inawafanya baadhi ya watu kufanya kila wawezalo kufichua uozo na uovu mbalimbali serikalini. Ni chuki hii inayowafanya watu hata kuamua kubadili uanachama kutoka chama tawala kwenda vyama vingine. Ni chuki ambayo inaonekana kuzidi kukua na kuongezeka kila siku ijayo.

Swali langu ni NANI HASA (mwenye wajibu wa kwanza kabisa) ANAYESABABISHA AU KUPANDIKIZA CHUKI HII?

a. Waandishi wa habari
b. Vyama vya Upinzani (wanasiasa wa upinzani)
c. Wanaharakati wa kisiasa (political activists)
d. Mitandao ya Kijamii
e. Serikali yenyewe
f. Vyote hapo juu!

Lakini swali la msingi ni jinsi gani mhusika huyo anapandikiza chuki hiyo?

Tukijua ni nani anapandikiza chuki tutatarajia hatua dhidi yake....

Isalute u mzee mwanakijiji,the best and only unswer is e
now how....kwa kutisimamia raslimali na nchi na kukika haki za binadamu
naamini utanipa tiki
 
honestly kuichukia serikali hii ni kutoitendea haki...

hii serikali ni 'victim of time'.......

the sands has shifted beneath na sasa ni almost too late to change anything

miaka kumi iliyopita ungsema 'The Muslim Brotherhood watatoa Rais wa Egypt'
hakuna ambae angeamini

ni siku za mwisho za CCM na hakuna anaeweza kubadili the shifting sands

Na haya yanayoendelea ni dalili tu ya jinsi mambo mengi yanavyokosewa katika utekelezaji wake,na kubadili kabisa frika za watu The Boss
 
Last edited by a moderator:
MMK wewe na maswali yako ya ajabu ajabu umeyatoa wapi mkuu? Yana tija gani kwa sasa? Sisi tunajadili hali ya Dr UL. Basi jibu ni serikali yenyewe, kama pato la taifa linatumika kwa wachache unategemea nini? MMK rudi nyumbani, huu ni mwaka wa 21 tangu umeikimbia nchi, rudi tuipiganie tanganyika yetu, AMERICA Inajengwa na wamarekani, sasa endelea kula ubuyu na bagger huku ukitufanya kafara, si umemuona mwenzako William? pia samahani kama nimekuboa
 
Back
Top Bottom