Ni nani Dr. William Mgimwa?

huyu ametokea BOT Taraining Institute Mwanza, amekuwa pale kwa muda tu ni mchumi mbobezi, ni mtaratibu na mchambuzi mzuri wa uchumi, kwa waliobahatika kusikia uchambuzi wake katika kikao cha mwisho cha bune lililopita, badala ya kulalamika kama wengine, yeye alijikita katika kuhoji sera za serikali zinafanya nini kuhakikisha kukua kwa uchumi, kunaenda sambamba na kuboreka kwa hali ya amaisha kwa wananchi walio wengi hususani vijini.

alitolea mfana mchango mdogo wa sekta ya fedha katika kukua kwa maendeleo vijiji ambapo kwa takwimu alizotaja Tanzania ni ya mwisho kwa ukuaji wa sekta ya fedha vijini, inatanguliwa na Kenya na Uganda kwa mbali.

akadokeza kwamba katika miaka ya karibuni, mchango wa sekta ya kilimo katika GDP umeshuka sana, na kwamba hali hiyo ingekubalika kama sekta zilizochukua nafasi (kukua badala ya kilimo) zingekuwa zinatoa mchango wa kuboresha maisha vijijini, jambo ambalo sivyo kwani sekta zinazokua sasa ni mfano sekta za madini ambazo zinawanufaisha zinazowajua wao, kimsingi ana maono, sasa sijui wamempa liwizara hilo ili kuonesha kwamba tanzania imeshindikina ikiwa na yeye atashindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kutawanya uchumi kwa wananchi, au watashirikiana naye kufanya kile ambacho wamekuwa wakishindwa, Namtakia kila la heri..
 
Nimekutana na CV ya mkuu wetu wa Hazina hapa. Il sijaona kitu chochote kinachomfanya aitwe Dr!!

Parliament of Tanzania
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1679.jpg
First Name:William
Middle Name:Augustao
Last Name:Mgimwa
Member Type:Constituency Member
Constituent:Kalenga
Political Party:CCM
Office Location:Box 80373, Dar Es Salaam
Office Phone:+255 754 765644/+255 684 765644
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:wmgimwa@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth20 January 1950
EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Wasa Primary SchoolPrimary Education19611965PRIMARY
Tosa Seminary Primary SchoolPrimary Education19661967PRIMARY
Tosamaganga Seminary SchoolO-Level Education19681969SECONDARY
Mafinga Seminary SchoolO-Level Education19701971SECONDARY
Institute of Finance Management, IFMAdvanced Diploma (Banking)19751978ADV DIPLOMA
Institute of Finance Management, IFMPostgraduate (Finance)19831984POSTGRADUATE
Institute of Development Management, IDM, MzumbeMBA (Finance)19891991MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Kalenga Constituency20102015
Bank of Tanzania Training Institute (Mwanza)Principal20002010
The National Bank of Commerce (NBC) - BankDirector19972000
The National Bank of Commerce (NBC) - BankManager19961997
The National Bank of Commerce (NBC) - CollegeLecturer19811989
The National Bank of Commerce (NBC) - BankAccountant19801981
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMWard Guardian (Wasa, Iringa)20082010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Commander (UVCCM)19941995
Chama Cha Mapinduzi, CCMCouncillor (Gangilonga Ward)19911994
PUBLICATIONS
DescriptionDate
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.2009

..Tuna changamoto za Mfumuko wa bei, changamoto za misamaha ya kodi kiholela, shilingi yetu haiko stable, kukopa katika bank za biashara......to mention. Natamani kujua nini msimamo wake kuhusu hayo kama Waziri wa fedha
 
daktari wa watu labda Dark City.

Wewe , acha utani. Kuna daktari hata wa wadudu mwenye qualifications kama hizi??

Institute of Finance Management, IFMAdvanced Diploma (Banking)19751978ADV DIPLOMA
Institute of Finance Management, IFMPostgraduate (Finance)19831984POSTGRADUATE
Institute of Development Management, IDM, MzumbeMBA (Finance)19891991MASTERS DEGREE
 
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?

Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!

Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!

Babu DC!!
 
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
 
Wewe , acha utani. Kuna daktari hata wa wadudu mwenye qualifications kama hizi??
Dark City, huyu Waziri mteule hili ndilo eneo lake Professionally, tatizo wakishaingia huko wanaenda kufanya wanayoyajua wao ambayo hata darasani hayapo
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa hatujali CV tunataka utekelezaji.Mtu wakuondoa au kupunguza matatizo ya mifumo ya kifedha na ukuaji wa uchumi na atimaye maisha ya kila Mtanzania yasonge mbele bila shida

Haswaaaaaaaaaaaaaa...........
 
karibia 90% ya mawaziri ni either dr or professor sasa naomba niulize huu udoctor wa mawaziri ni udoctor wa kutibu wagonjwa/wanyama, udoctor wa phd, udoctor wa kupewa(kama kikwete, mengi) au udoctor wa kuchakachua:thinking:
 
Kwa sasa hatujali CV tunataka utekelezaji.Mtu wakuondoa au kupunguza matatizo ya mifumo ya kifedha na ukuaji wa uchumi na atimaye maisha ya kila Mtanzania yasonge mbele bila shida
..CV inatusaidia kufahamu ubobeaji kitaaluma, na tumeona hapo juu huyu Waziri amebobea katika taaluma ya Fedha, utekelezaji utatokana na uzalendo wake kwa nchi hii na watanzania na pia uadilifu wake. Tusubiri tuone
 
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?

aka Amon Nsekela Bank Institute. Sasa ubinafsishe benki ya NBC na usifie mafanikio yake halafu ukiache chuo cha nini?
Majengo ya hicho chuo nayo yalibinafsishwa na yanamilikiwa na SAUT Ruaha University College.
 
Dark City, huyu Waziri mteule hili ndilo eneo lake Professionally, tatizo wakishaingia huko wanaenda kufanya wanayoyajua wao ambayo hata darasani hayapo

Kivumah,

Iliyeweka post niliyojibu alisema kuwa labda ni daktari wa watu....Ndio na mimi nikajibu kuwa sijaona kwenye qualifications zake hata kitu hata kimoja kinachoweza kumfanya kuwa daktari wa kutibu watu. Ndo maana nikaseama hata kutibu wadudu hana sifa hizo!!

Pia nimejaribu kuangalia angalia kama ana sifa zinazomfanya awe daktari wa falsafa nazo sikuziona!!
 
Sasa naanza kuamini U-dr mwingi kwa viongozi wetu ni wa kufoji eg Lukuvi, Kamala etc walikuwa wanajiita ma-dr kumbe hamna kitu..Sijui wanaona ni fashion kwa sababu mkuu anapenda kujiita hivyo..
 
Back
Top Bottom