Ni nani Dr. William Mgimwa?

I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
..Ni nini ambacho aliwaahidi wananchi wa Kalenga wakati anaomba kura na amekitekeleza katika kuwaondolea umasikini na kuwainua kiuchumi?
 
karibia 90% ya mawaziri ni either dr or professor sasa naomba niulize huu udoctor wa mawaziri ni udoctor wa kutibu wagonjwa/wanyama, udoctor wa phd, udoctor wa kupewa(kama kikwete, mengi) au udoctor wa kuchakachua:thinking:

Hapo kwenye red hapo... nani ambaye mfereji wa mjani uko naye karibu ahangaike kutafuta sijui udoctor halali sijui, aache kukwiba mapene yaliyo readily available ya wadanganyika?
 
Mkuu NBC ilikuwa na vyuo, moja kati ya vyuo hivyo ni kile cha Iringa, baadae kiliuzwa kwa SAUT na sasa ni Ruaha University College aka RUCO.
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?

Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!

Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!

Babu DC!!
 
I was gonna ask that! Kumbe kila karipoti ukiandika unaita publication? Ngoja ni-update kwangu mweh!
Afu atakuwa dr of MBA, kwani JK ni dr of what vilee?
Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!

Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!

Babu DC!!
 
Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!

Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!

Babu DC!!
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw
 
Kwa sasa hatujali CV tunataka utekelezaji.Mtu wakuondoa au kupunguza matatizo ya mifumo ya kifedha na ukuaji wa uchumi na atimaye maisha ya kila Mtanzania yasonge mbele bila shida

Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuruka hadi juu bila kupitia hatua muhimu za kujenga taaluma yeke. Na ndio maana CV inaheshimika sana na kutumiwa kuonesha kwa kiwango fulani uwezo wa mtu kitaaluma na weledi wake pia.

Pamoja na kwamba Tanzania watu wanachakachua sana mambo ya taaluma, bado ni muhimu katika utendaji wa shughuli zetu za kitaalamu.

Hata hivyo, hakuna jambo lolote jipya ninalolitegemea kutoka katika serikali iliyo chini ya JK hata kama mawaziri angewatoa mbinguni!!
 
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
nimewahi kusoma sekondari na dada mmoja akiitwa Thecla Mgimwa pale Lugalo ya Iringa, huyo ni familia yake pia? just want to knw.
 
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw

Ndugu MKWECHE ,

Sisi tunajadili CV yake ambayo kaiandika mwenyewe na kuiweka kwenye public domain. Wewe unajadili nini?

Halafu unapojaribu kutushuka kitalaama na ki-uzoefu, unatumia kigezo gani? Au unataka tukuwekee CV zetu ndiyo ukubali kwamba tuna haki ya kujadili CV ya mwalimu wako?
 
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa

Samahani dada huyu mtu ana qualification za kuitwa dr kulingana na cv yake hapo juu??
 
Wana JF huyu kiumbe ni jembe tena la kisawasawa. Hana mchezo na kazi, mwadilifu na ni mpenda ukweli. Alipokuwa NBC dar wafanyakazi pamoja na mameneja wezi walikuwa hawampendi sana sababu alikuwa anawazibia sana kuiba. Na alikuwa anatoa ripoti moja kwa moja polisi na kwa mkurugenzi mkuu wa NBC. Alikuwa anakaba hadi penati. Hana makuu na wala si mpenda mali. Anaishi maisha ya kawaida sana, kwa ukweli ni mmoja kati ya watanzania wachache walioachiwa damu ya Nyerere. Hofu yangu ni kwamba atawezana na makatibu wakuu wa wizara ya fedha ambao ni wezi wa kutupwa?
 
naomba kuuliza labda sijui
mzumbe walikuwa wanatoa masters miaka hiyo ya 1989/1990?

Institute of Finance Management, IFMAdvanced Diploma (Banking)19751978ADV DIPLOMAInstitute of Finance Management, IFMPostgraduate (Finance)19831984POSTGRADUATEInstitute of Development Management, IDM, MzumbeMBA (Finance)19891991MASTERS DEGREE
 
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw

Okey lakini hata katika uzuri wake tusisahau kama wakati wa Mkapa Prof Mbilinyi alikuwa amebobea katika uchumi, pandeni hapo Kimara mkamwone na jinsi alivyotoka katika wizara hiyo na bibie wa kijerumani Majorie. Kwa sasa ndiye kikwazo cha kupanuliwa kwa bara bara iendayo Morogoro kuanzia hapo Ubungo maana kajenga barabarani na kumgusa wanaogopana hadi Magufuli kamugwaya huyu jamaa. Kweli alikuwa amebobea kitaaluma lakini wizara ya fedha ilimfedhehesha. Mgimwa kapigiwa debe na Lukuvi maana wote ni 'wanyarukoro' ili akuze maslahi yake. Ndo hivyo wanamsaidia JK ili nao wajisaidie hapohapo walipo hakuna haja ya kwenda WC ukiingia siasa unajisaidia ulipo.
 
Babu DC, acha vijana wajitutumue bana! U don't need to defend ur cv, wa kada yako wanakutambua.
Ndugu MKWECHE ,

Sisi tunajadili CV yake ambayo kaiandika mwenyewe na kuiweka kwenye public domain. Wewe unajadili nini?

Halafu unapojaribu kutushuka kitalaama na ki-uzoefu, unatumia kigezo gani? Au unataka tukuwekee CV zetu ndiyo ukubali kwamba tuna haki ya kujadili CV ya mwalimu wako?
 
Mbunge%2Bwa%2Bjimbo%2Bla%2BKalenga%2Bmkoani%2BIringa%2BDr.Wiliam%2BMgimwa%2Bakiandika%2Bhundi%2Byenye%2Bthamani%2Bya%2BTsh.Milioni%2B1%2Bkwa%2Bajili%2Bya%2Bkuchan.jpg

Huyu ndiye anayechukua ikoba ya Mkulo, je ataweza kusawazisha haraka na kuziba matundu yaliyotoboka toka kwenye mfuko wa hazina serikalini?
 
Back
Top Bottom