Ni nani Dr. William Mgimwa?

Naona UDSM haitoi Economists sasa!Mgimwa na Mkulo ni mediocre wa ki Tanzania.Hawana degree lakini ni mawaziri wa fedha!kicheko na uswahili wetu
 
Okey lakini hata katika uzuri wake tusisahau kama wakati wa Mkapa Prof Mbilinyi alikuwa amebobea katika uchumi, pandeni hapo Kimara mkamwone na jinsi alivyotoka katika wizara hiyo na bibie wa kijerumani Majorie. Kwa sasa ndiye kikwazo cha kupanuliwa kwa bara bara iendayo Morogoro kuanzia hapo Ubungo maana kajenga barabarani na kumgusa wanaogopana hadi Magufuli kamugwaya huyu jamaa. Kweli alikuwa amebobea kitaaluma lakini wizara ya fedha ilimfedhehesha. Mgimwa kapigiwa debe na Lukuvi maana wote ni 'wanyarukoro' ili akuze maslahi yake. Ndo hivyo wanamsaidia JK ili nao wajisaidie hapohapo walipo hakuna haja ya kwenda WC ukiingia siasa unajisaidia ulipo.

Safi sana ndugu,

Kwa wale ambao tuko sober, tunasubiri this time next year hili baraza la mawaziri litakapokuwa linafumulia tena baada ya ripoti mpya ya CAG!!

Hakuna jipya wanaloweza kufanya na hawawezi kuokoa kitu kwani maji yalimwagika kitambo!
 
Jamani labda hii CV hajai'update,hii ilikuwa kabla haja'ukwaa u'daktari wa falsafa.....labda!!

Mkuu,

CV inasema hivi (usisome alipoandika to date, as if ana uhakika wa kufika huko)

Sasa udaktari kaupata lini na kwa nini hauweki kwenye CV??

Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Kalenga Constituency20102015
 
Babu DC, acha vijana wajitutumue bana! U don't need to defend ur cv, wa kada yako wanakutambua.

Ahsante sana King'asti,

Kwa heshima yako, naomba sasa nikawabembeleze wajukuu wapumzike!!

Hata kama hawa vijana kama huyo Mkweche watazidisha uchokozi...I will leave it for their peers!!

Babu DC!!
 
Okey lakini hata katika uzuri wake tusisahau kama wakati wa Mkapa Prof Mbilinyi alikuwa amebobea katika uchumi, pandeni hapo Kimara mkamwone na jinsi alivyotoka katika wizara hiyo na bibie wa kijerumani Majorie. Kwa sasa ndiye kikwazo cha kupanuliwa kwa bara bara iendayo Morogoro kuanzia hapo Ubungo maana kajenga barabarani na kumgusa wanaogopana hadi Magufuli kamugwaya huyu jamaa. Kweli alikuwa amebobea kitaaluma lakini wizara ya fedha ilimfedhehesha. Mgimwa kapigiwa debe na Lukuvi maana wote ni 'wanyarukoro' ili akuze maslahi yake. Ndo hivyo wanamsaidia JK ili nao wajisaidie hapohapo walipo hakuna haja ya kwenda WC ukiingia siasa unajisaidia ulipo.

Ndugu yangu nahisi huwafaamu wanyarukolo. Ni watu wasiopenda ubabaishaji bahati nzuri katika soma soma yangu nimefundishwa na hawa watu. Ni watu waadirifu saana. Cjui kuhusu huyu mzee ila kama mwana jamii mmoja aliposema alikuwa anabana NBC hiyo sioni ajabu. Wanyaru wangekuwa wanatabia kama za wachaga(Kubebana) hii inchi ingekuwa yao na bahati zaidi walikuwa na fulsa za elimu, tatizo lao kila mtu hutoka kivyake n.
 
Huyu mzee kaniwahi tu kwenye kuteuliwa, leo ni siku yangu ya mwisho kulala maskini kesho mchana 'ba riz' ananiteua UDC Mbozi kwenda kuziba pengo la aliyejiuzulu.
 
Huyu mzee kaniwahi tu kwenye kuteuliwa, leo ni siku yangu ya mwisho kulala maskini kesho mchana 'ba riz' ananiteua UDC Mbozi kwenda kuziba pengo la aliyejiuzulu.

Mkuu kagame, baba ritz ameshamaliza uteuzi... Je, unataka uteuliwe nafasi ya uwakilishi wa u-kamerun kama mbatia?
 
Babu mwenzangu Dark City naona unazeeka vibaya. Kwani rais JK wako siyo Dokta? Stuka!

Haya bwana, ngoja na mie nikamtafute mtu wa kugaia udokta kwa gharama yoyote ila....!!

Siku nikirudi hapa lazima kila mtu apige salute na kumsalimia Dr Babu DC!!
 
Ndugu yangu nahisi huwafaamu wanyarukolo. Ni watu wasiopenda ubabaishaji bahati nzuri katika soma soma yangu nimefundishwa na hawa watu. Ni watu waadirifu saana. Cjui kuhusu huyu mzee ila kama mwana jamii mmoja aliposema alikuwa anabana NBC hiyo sioni ajabu. Wanyaru wangekuwa wanatabia kama za wachaga(Kubebana) hii inchi ingekuwa yao na bahati zaidi walikuwa na fulsa za elimu, tatizo lao kila mtu hutoka kivyake n.

dah! taratibu diwani, naona ulikuwa husomi zile nyuzi
kuhusu yule mkulu mnyaru aliyekuwa anashutumiwa kubeba
wanyaru. labda jamaa alikuwa anasingiziwa.
 
dah! taratibu diwani, naona ulikuwa husomi zile nyuzi
kuhusu yule mkulu mnyaru aliyekuwa anashutumiwa kubeba
wanyaru. labda jamaa alikuwa anasingiziwa.[/QUOT

Haiwezi kuwa parfect jamii nzima. Ila tunaangalia %. Mi nimekaa sana iringa kuna watu wameshika nyadhifa za juu sana ila maisha yao ni yakawaida kabisa, Angalia akina Mlawa(Katibu wa Bunge), Adam sapi Mkwawa, akina Pro Luhanga, Siyovelwa, angalia hata akina Pro Msolla.
 
Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!

Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!
NA HIYO FURAHA YAKO NDO INANISHANGAZA MAANA INANIFANYA NIAMINI KWAMBA WEWE SIO MSOMI. The guy does not even have a single international publication. Ni vikaratasi tu ambavyo washikaji wanaandikiana hapo udsm and then vinapita as publications! Hata ukiangalia vizuri havijulikani hivyo vi-artticle vyake vilichanpishwa kwenye jarida la hadhi gani ! Angalia namna vilivyo wakilishwa hapa! Academic publications huwa haziwasilishwi hivo! Hakuna jina la journal lililo-publish hizo article, hakuna mwaka, huwezi kujua kama ni vitabu au articles au chapters kwenye vitabu, etc...! In other words, ni FULL MA UJANJA! Unatupatia tu majina ya vi-title halafu unataegemea sisi watu wazima na akili zetu tuamini kwamba huyu ni mtalaam. Acheni USHA HABIKI WA KIJINGA! NI USHAHABUKIU KAMA HUO AMBAO UNAIMALIZA INCHI!. ASANTE.
 
dah! taratibu diwani, naona ulikuwa husomi zile nyuzi
kuhusu yule mkulu mnyaru aliyekuwa anashutumiwa kubeba
wanyaru. labda jamaa alikuwa anasingiziwa.[/QUOT

Haiwezi kuwa parfect jamii nzima. Ila tunaangalia %. Mi nimekaa sana iringa kuna watu wameshika nyadhifa za juu sana ila maisha yao ni yakawaida kabisa, Angalia akina Mlawa(Katibu wa Bunge), Adam sapi Mkwawa, akina Pro Luhanga, Siyovelwa, angalia hata akina Pro Msolla.

unaweza muongezea kwenye orodha yako mzee galinoma (r.i.p.). ila
naona ujumbe wako ulikuwa nao umekaa kijumla flani hivi ndio maana nami nikachomekea wapo wanyalu
walipinda pia lol
 
Mkuu kagame, baba ritz ameshamaliza uteuzi... Je, unataka uteuliwe nafasi ya uwakilishi wa u-kamerun kama mbatia?

Kuna baadhi ya vichwa nimevishangaa kama huyu waziri wa fesha na yule wa maliasili na utalii, kumbe kuna wengi ambao wanavuta hisia za matumaini, kwa nini alikuwa anawang'ang'ania akina megawati na mkulo?
 
Back
Top Bottom