chid benz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. central midfielder

    Mangwair vs Chid Benz

    Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa kidogo tuwekana sawa. Wanasema kwenye pick yake The Late Albert Mangwair alikuwa mkali sana wa freestyle yani mitindo huru. Na sifa kuu alikuwa na uwezo mkubwa wa kukaa kwenye topic bila kutoka nje ya mada huku akifreestyle tu(nlimsikia juzi kati fareed...
  2. M

    Ni muda sasa Waandishi muache kumuhoji Chid Benz

    Kama wewe ni shabiki wa Chid Benz na umekuwa ukifuatilia mahojiano yake utagundua kuwa hayupo sawa. Chid Benz amekuwa na Interviews nyingi ambazo zimekuwa zikitumiwa kama kichekesho kwa baadhi ya watu waliokosa uungwana. Chid amekuwa anaulizwa maswali na anajibu tofauti hali unayofanya tuhisi...
  3. LIKUD

    Nasikia harufu ya Chid Benz kurudi tena kwenye chat

    God bless. Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu. Huyu ndio Chidy tulie mjua. Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya Chidy kwenye hilo Goma kama ni mchezaji basi we Pacome. Simu ziite simu ziite. # Maurine sio mtamu...
  4. R

    Nafikiri tatizo la Chid Benz linaanzia kwa mama yake pia

    Wasalaam. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara. Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida. Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu...
  5. sinza pazuri

    Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

    Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa. Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz. Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye wimbo wake ajamlipa. How come mwenye wimbo anataka alipwe na aliyepewa colabo? Diamond aliamua...
  6. BARD AI

    Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  7. LIKUD

    Chid Benz kama Case study: Wasanii wana michezo wanarogwa sana. Sababu hii hapa chini👇

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  8. central midfielder

    Jay Moe vs Chid Benz

    Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5. Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo) 1. UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ. Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma...
  9. LIKUD

    Chid Benz: Hii Dunia hakuna Mungu

    Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah Makwiro almaarufu Chid Benzi
  10. Zombie S2KIZZY

    Ngwair ft Chid benz - speed 12 vs Nipsey Hussle - kush n haze

    Ipi Kali Sana kati ya hizi ngoma speed 120 iliyotoka 2008 au kush n haze iliyotoka 2006. Nimekuwekea ngoma zote mbili hapo uzisikilize Dondosha maoni hapo chini👇👇 NB:RIP kwa Albert Mangwea RIP kwa Nipsey Hussle Long live kwa Chid Benz
  11. central midfielder

    Battle: Chid Benz na Solo Thanga nani alikuwa hatari zaidi kwenye HIP HOP?

    At their peak Chid Benz na Solo Thanga. Nani hatari zaidi kwenye HIP HOP???
Back
Top Bottom