Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

Msijisumbue kwa neno lolote ila kwa KILA NENO NI KWA KUSALI PAMOJA NA KUSHUKURU NA HAJA ZENU ZIJULIKANE NA MUNGU Wafilipi4:6
mix with yours
 
Yes zabur 121 pia ni supabu....NITAYAINUA MACHO YANGU......MSAADA WANGU UTATOKA WAPI? MSAADA WANGU NI KATIKA JINA LABWANA ALIYEZIUMBA MBINGU NA DUNIA.....aaaaah tamu thana hiiiiiiii hasa ukiwa unayaamini mambo haya

mix with yours
 
allah naye keshaingia kwenye hii thread?....sawa uliyoandika isipokuwa allah sio mkubwa na wala hayuko juu kuliko MUNGU wa kweli wa WAKRISTO

La hawla wala quwwata....ila billaahil-aliyyil-adhiim.
(hakuna ujanja wa aina yeyote...wala hakuna nguvu aina yeyote...kwenye jambo lolote...ispokua Mungu atake...alie juu ya kila kitu...na ni mkubwa kuliko kila kitu) hii tafsir ndio sahihi ya hayo maneno kwa ufafanuzi wake.
 
Back
Top Bottom