Ni mrembo lakini, sikutegemea angekuwa na akili za hivi!

Mkuu ngoja nikwambie kitu..hawa wanawake waache hvyhvyo yani inawezekana hujamsoma vizuri
labda nikwambie tu kwamba kwa siku hizi ni bora ukaoa mwanamke design hiyo kuliko hawa unaowaona wasomi..asikwambie mtu mkuu yaani mara nyingi type hyo unaowaona vilaza ndio wanaoongoza kudumu ktk ndoa,
Kwanza hawana makuu,pili huwa wasikivu sana,tatu wanajua kulea watoto,nne ni wavumilivu sana yaani yeye hata ukimwambia mama leo mishe zangu zimegonga mwamba hvyo chemsha dagaa tule tulale..hana tabu atakwambia sawa mume wangu...pia vilevile hata ukimdanganya ni rahisi kukuamini.
Ila kama unataka kichwa kiwake moto na uvae mkanda "luksi" moja umeruka tafuta hao masista doo wa barabarani afu awe kaenda shule kdg ukitegemea "NITAMTULIZA TUU AKIWA NDANI"...yan UTATULIA WEWE mkuu..Sasa hv ukitaka ku'enjoy ndoa tafuta type hyo alieshindwa kusoma saa ya mshale..ukitaka hawa wa digital ambao kila mtandao ana akaunt utavaa chupi kichwani na maharage utayaita "maage"...takecare mkuu.

Ha haa nimecheka kwel
 
Mimi mwenyewe nilikuwa namfagilia demu mmoja mkalii,siku moja nikiwa na dingi yake akawa anapita karibu, nikamuuliza utamchagua nani awe laisi akajibu lowsaaa! Baba yake Akanambia "hamna mke hapo kuna nyumbu"...nikasa duu kumbe kuna wanawaki vilaza

bora merehremu kuliko wewe kuja hapa kumsema bint wa watu wakati wewe ni tikikti
 
Wait tuanze na sauti:kwan ushawai skia sauti yangu mana umeisifia sa sijui umeiskia wapi???

mbona swali lako ni rahisi sana,kila ninaposoma neno hata moja uliloliandika,na imagine sauti yako ilivyo.una swali mpaka hapo?..au bado nimekuacha tiffah?(your voice is familiar to me tiffah)
 
Wanaume wa umu wanakatabia ka ajabu: utakuta anammendea demu akishapata utamu analudi tena apa apa kuna kuyaanika wanaume wa ivi huwa wapo kwenye kundi gani????
 
Wanaume wa umu wanakatabia ka ajabu: utakuta anammendea demu akishapata utamu analudi tena apa apa kuna kuyaanika wanaume wa ivi huwa wapo kwenye kundi gani????

mimi nafikiri wapo kwenye kundi lao(just a joke),unaweza kutoa mfano hata mmoja wa mtu huyo latifa?au ni mimi?
 
wa hivyo huwa WATAMU kishenzi maana hana mambo mengi ya kufikiria ukimwingizia bakora anaisikilizia kisawa sawa hawazi mambo mengine km wasomi mara anawaza formula za kupiga deal
 
Back
Top Bottom