Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,583
18,915
Habari wanajf

Ndugu zanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya mahusiano. Ilinichukua miezi 6 bila kuwa na mahusiano wala kufanya mapenzi.

Kama binadamu wengine nikawa nina nyege na ukizingatia nipo single nyege zangu zikanipelekea niwe na wazo lakuomba mzigo siku moja hiyo hiyo kwa demu yoyote. Wakati napita zangu nikamuona binti mkali kutokana na uzuri wenye viwango vya 4k kwenye akili ya kawaida nikawaza ninaweza kutoswa lakini nikajaribu bahati nikamwita demu akaitika nikamuomba niongee naye demu akanisikiliza kwenye Hili lazima uwe na technique nikaongea naye Sana na kuna maswali akaniuliza me nikamjibu vizuri the end demu akanikubalia yaani sikuamini macho yangu ila akaniambia tusifanye leo kuna sehemu anaenda akasema nimpe no yangu atanicheki kesho sawa nami nikampa, kitu ambacho kinishangaza zaidi demu hakunipa hata condition labda nitoe hela kama msemo wa mademu wa sasa hakuna mbususu ya bure Tena hiyo ulikuwa j'5.

Kesho Alhamisi ikafika nilisubiri mpaka inaenda saa 11 Jioni demu hajanipigia na nikajaribu kupiga simu inaita lakini haipokelewi nikajiongeza hapa nimepigwa changa la macho ilivyofika saa 1 usiku yule demu akanipigia Tena hapo nilikuwa nimekata tamaa nikapokea akaniambia nipo wapi nije duh nilifurahi Sana na hapo hakuniomba hela yeyote hata nauli.

Wakati namsubiria manzi ikabidi niwashilikishe baadhi ya wadau wangu kwenye Hili kuanzia mwanzo mpaka mwisho wengi wao wakaniambia hapo kuna namna haiwezekani demu akupe mbususu bure Tena hakujui may be ana ukimwi anatafuta mtu wakufanae wakanishauri Cha msingi kabla ujafanya naye kapime nae.

Baada ya muda kupita demu akafika nikamchukua stendi nikamwambia ni vizuri tupitie sehemu tukapime maana mimi sipendelei kutumia condom demu akakubali tukapima tukakutwa na negative wote so nikampeleka mpaka ghetto langu demu yupo vizuri ile mbaya alinipa show ya kibabe Sana nimetoka pale nimeridhika kabisa nilimtoa usiku Sana so nikamtafutia bajaji nikamlipa bajaji amfikishe mpaka anapo kaa na nilimpa yule demu elfu 35 akaniuliza ya nini? Me nikamjibu hii ni kama Asante pokea tu usijali nitafurahi Sana utachukua demu akakubali akachukua.

Siku ya jumamosi baada ya kupita siku moja tangu nimfumue yule yule demu akanipigia anataka aje home duh ilinishangaza cos nilijua ilishipita tumeshamalizana nikamwambia aje nikamgonga na nililala nae mpaka kesho akanipikia chai ikabidi nimuulize swali vipi unakaa na boyfriend wako au mnakaa sehemu tofauti? demu akanijibu me nipo single nikastuka kidogo nikawa naona kama ananidanganya hivi binafsi sikutegemea maana demu ni mzuri mno kama ni level yupo kwenye most beautiful halafu yupo full package katika wanawake niliwahikudate nao ingawa ni wazuri ila hawajafika level ya huyu demu kwanza ana uzuri wa asili halafu ukichanganya na rangi ya mtume kwa msemo wa mtaani inakuwa balaa sasa. Demu akaniuliza Tena nifanye nini uliuniamini kwamba mimi nipo single but the end nikakubali nikaongea mambo mengi Sana siku ile tukaanza kufahamiana zaidi.

Siku nyingine aliniomba niende kwake nikaenda siku hiyo hiyo akaniambia mimi nataka niishi na wewe hii kukutanakutana sio nzuri Sana kama itakupendeza uishi kwangu Hilo nililikataa nikamwambia utaishi kwenye ghetto langu mrembo akakubali tangu siku hii mpaka Leo ndio mpenzi natunakaribia mwaka hivi kwenye mahusiano

NB: Tangu nimedate na wanawake tofauti huyu ndio mwanamke wangu Bora Sana kuliko yoyote na ndio mahusiano yangu ninayoyafurahia Sana ninakula mahaba Sana na sio kwamba nina kipato kikubwa la hasha nina kipato Cha kawaida mwanamke amezama kwangu kimapenzi nami nimezama kwake. Ninalishwa, nikirudi home kabla yake ninavuliwa shati, ninafuliwa nguo sometimes nafanyiwa massage na ndio mwanamke nategemea kumuoa changamoto ni moja tu me ni mkristo wakati yeye ni muislamu halafu kwao wanaimani Kali Sana

Saint Anne
Darmian
DeepPond
Sky Eclat
Yna2
Shunie
Mzigua90
Kunguru wa Manzese
to yeye
Zero IQ
Mshana Jr
Carleen
Amehlo
Joanah
 
Habari wanajf

Nduguzanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya mahusiano.
Ilinichukua miezi 6 bila kuwa na mahusiano wala kufanya mapenzi.

kama binadamu wengine nikawa nina nyege na ukizingatia nipo single nyege zangu zikanipelekea niwe na wazo lakuomba mzigo siku moja hiyo hiyo
Hivi tz kuna demu ambae sio pisi kali......kila mtu demu yake pisi kali Mungu alitupendelea sana au sio?
 
Mkuu hao mademu wapo , believe me ,ila ni ngumu tu kuwaona .....!

Mademu single ambao hawana wanaume na wanatamani kuwa na mwanaume wapo kibao ....Mimi nishawagi kutembea njiani kama wewe nilipata namba tatu ...

Wa kwanza alikuja home mchana Mimi sikuwa na wazo la kuomba ushauri wa kwa watu kwani nilijua nitatumia ndomu na kuondoka ..nilimt*mba yule demu nikampa 5k ,,nilivoongea nae alinambia alikuwa na mtoto mmoja na mmeo kamtenga saizi hawezi hata kulipa Kodi vyombo vyote kahamishia kwa dada yake na ndio anakaaa...sikutaka mahusiano Kwan niliona huyu dada anataka mwanume wa kumtunza ......

Wa pili nilimanga huyu ilibidi nikutane nae gest aisee ,bonge la mtoto ,nyuma kaumbika hatari mweupe ,ukiangalia mpaka unasema Sasa kwanini huyu manzi yupo single ...nilimtafuna hatari ,huyu dada ananyonya m*boo hatari nilimla mpaka Kuna kucha aisee ,nilikuja kugundua kumbe huyu manzi kamaliza chuo na anaishi na rafiki zake ,lakin alishakuwa na mtoto wakati anasoma na yule mtoto yupo kwao mkoani yeye anapambana dsm kutafuta life ...ila chuchu Bado konzi kabisa ,toto la singida like daa ...nilimpa 12k Wala hakuojali ...Toka siku hio akawa ananitafuta Sana lakin Mimi nilikuwa busy ....

Watatu sikumtafuta kwani ,niliona anaanza kunipa location za gharama kukutana nikamtema ....😅😅

Dsm mademu wa barabarani wengi 90% ukiwasimamisha wapo kibiashara na hakuna anayechomoka ...!
 
Hii iliwah nikuta wakati fulani
Katika harakati zangu za kusaka mademu sikuwahi kutumia siku chache kumla demu kama huyu ambae nataka kumuelezea hapa chini.

Nilikuwa na muda mrefu kidogo sijakutana na mwanamke,nilikuwa na nyege za kufa mtu.
Siku hyo nilkuwa natoka kuwaona madogo shuleni kwao,wakati wa kurudi sikutaka kutumia usafiri,nikaamua ntembee na kujiapiza kuwa kila demu mzuri ntakae kutana nae lazima nimpige mistari ya kuiba nchi.

Basi bhana,nilitembea sana karibia nifike home nikakiona kibinti kwa mbali,kwa jinsi nilivyo na macho makali na ambayo yako fasta kama google,nikawa tayari nimeona kikiwa na sifa zinazonikamataga,basi nkaanza kujitembeza taratibu mpaka kikanifikia kilikuwa kinatoka nyuma yangu.

Basi tukaongozana kule kilipokuwa kinaelekea,kutokana na nyege nilizokuwa nazo mzee baba muda huo nimembana kwenye mkanda kichwa chake kikawa kinatoa kamasi tu muda wote kutokana na hali hyo nilimshawishi binti wa watu mpaka akanielewa.Wakati huo alikuwa anaenda kwenye kazi yake(alikuwa fundi nguo a.k.a fundi cherehani)

Nakumbuka siku hyo ilikuwa ijumaa,na binti alikuwa msabato,
Jioni yake nikampigia simu ili nionane nae wakati akiwa anatoka job ili nikazie mistari,na kweli niliikaza mistari na mpaka nikafanikiwa kumpiga kiss shavuni ingawa sabato ilikuwa imeshaingia tayari,na pia niliweza kumshawish mpaka tukapanga siku ya kula vinono na alipanga iwe jumamosi pindi atakapotoka kanisani,sikuamin kama mtoto wa kisabato angeweza kunitunuku siku hyo wakati ndo anakuwa katoka kanisani.

Kumbe binti alikuwa kazamilia kabisa,ilivyofika saa 12 kanicheki kwenye sm nikaenda kumchukua nikampeleka lodge,tumefika ndani kidemu kikataka kuoga kilikuwa kimekuja na khanga nyeupe yenye maua ya bluu kikajifunga,nikaona umbo lake vizuri zaidi,nilijihisi kuchanganyikiwa kutokana na nyege za muda mrefu nilizokuwa nazo

Kametoka kuoga mimi npo hoi,baada ya kujipaka mafuta kakaja kitandani,baada ya maandaliz nikaanza kula mbususu yaan nilipiga mbususu nikawa napiz lakin mzee baba halali yaan kitu sikitoa kinapiz na endelea humo,aisee nilifaidi bahati nzuri kidem nacho hakikuwa kizembe kilinivumilia mpaka nilipotosha mwenyew

Baada ya mechi heavy tuka toka kwenda kula,baadae kurudi kama kawaida mchezo ukaendelea mpaka kesho yake asubuhi,demu akajiandaa akaenda kazini kwao
 
Uyo demu inawezekana ulikumta katupwa na mtu au Kwa SIFA ulizompa inawezekana wadau walikua wanamuogopa ikapelekea awe single kujilipua kwako kukakupa toto
Yah kuna wakati inabidi ujitose kwasababu ujui bahati yako iko wapi lakini inakupa experience ya angalau ya kuwajua wanawake maana kuna wanawake wengine wanakupa challenge kama hauna uzoefu nao unajikuta unashindwa kumpata demu hiv hivi
 
Back
Top Bottom