Ni mkoa gani unaoongoza kwa kuwa na matajiri wengi Tanzania?

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
405
Wakuu,

Naomba mwongozo wenu katika hilo.

Kumbuka kuwa kipimo cha utajiri ni kuwa na mali zinazohamishika na zisizohamishika.Kulingana na vigezo hivyo, ni mkoa gani unaongoza kwa kuwa na mabilionea wengi kuliko mingine yote?

Karibuni kwa hoja makini
 
Ruvuma ndio kuna mabilionea wengi kuliko mikoa yote Tanzania ukiondoa Dar
 
Hahahaha mnachekesha njooni zenji home huku vogue ni taxi ya kawaida
 
hesabu magorofa yote ya posta na kariakoo,ukimaliza hesabu nyumba zote za masaki,oysterbay ndo utajua dar kuna matajiri wangapi maana hapo kila mjengo unaanzia bilioni
 
Back
Top Bottom