Kwanini duniani, Afrika na Tanzania kwenye list ya matajiri wakubwa wanawake hawamo?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
Leo nilikuwa napitia mtandao wa matajiri na taarifa za mabilionea mbalimbali Duniani, kwenye mabara, na hasa Africa na nchini Tanzania.

Nimeshangaa kuona wanawake kwenye haya mambo hawapo kabisa, wakati utafiti jamii usio wa kitaalam imegundulika mwanamke ndio kiumbe anayependa Pesa na mali kwa gharama yoyote kuliko kiumbe mwingine yeyote.

Tatizo ni nini wakati kila kitu siku hizi wameruhusiwa kufanya? Na wanafanya vizuri katika karibu kila industry lakini hii ya kumiliki maokoto ya kibilionea wanakuwa wanyonge?

Ni hilo tu.
 
Ni hilo tu.the rest
Wanapenda pesa za kula tu, hawawazi zaidi ya outing kula pizza, kutembelea Dubai kwenye mchanga, Mbudya na Ufaransa, kuendesha gari zuri na kukaa kwenye apprtment.

Wanawake wachache kama Mama Lwakatare walijaribu sema watoto wakaharibu, the rest wenyewe wanajifanya kama chombo cha starehe.

Angalia Dia na Mana-RAH wanapita na mtu ambaye alizaliwa nje ya nchi, kawa miss , sasa ni kiongozi wa kisiasa na hana akili ya kukataa kuvua pant zaidi ni kuwaza hela
 
Back
Top Bottom