Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Kipochi manyoya pekee ndo hukosi 50,000 Kwa siku. Jitahid usafi
Acha mkuu, hongera sana yaelekea kipochi manyoya kimekutoa mkuu, ispokuwa inahitaji nyie wenye uzowefu mkubwa mlioanza kazi hizo toka kitambo mkuu, lissu anaweza kukupa mwongozo zaidi juu faragha zenu, na kangi aliwahi sema mpo salama na kazi zenu za jehanum.
Watu na experience zao, bana.
 
1. Compressor kwa ajili ya mafundi rangi....20,000 hadi 30,000 per day.
2. Heavy drilling machine 20,000 per day.
3. Grinding machine 20,000 per day.
4. Welding machine 30,000 per day
5. Compactor 50,000-80,000 per day.
6. Mixer 80,000 -100,000 per day.
7. Machine ya kuchaji battery za magari 2,000 per battery.
 
Safi Sana
 
Bei gani hizo mashine mkuu, kama hutajali
 
Nina infos hata crusher ya mawe imafedha kweli migodini hasa wachimba dhahabu, tatizo kulitenheneza mpaka upate diff la tractor! Lakini kwa infos hugharimu 15mil,huwa kwa infos za juu juu halikosi 200,000/-p/day!
Jaw crusher machine complete hata kwa 10 millions unapata na ina uwezo wa kuchenjua 2 tons per hour , ni mashine nzuri kwa watu walio hayo maeneo ya migodi au kokoto
 
Ukiwa na hii haukosi 50,000 kwa siku

images (26).jpeg
 
Back
Top Bottom