Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,

Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Inategemea na location Mashine ya juice ya miwa, video Camera, Drill ya kutobolea ukuta na vinginevyo vinaweza kukuingizia Hio hela, cha muhimu jua upo Eneo gani kuna demand gani halafu nunua kifaa husika.
 
Inategemea uko wapi. Kuna mashine nyingi sana, lakini muhimu siyo mashine, muhimu ni watendaji wa hizo mashine.

Kama unao watendaji wazuri unaweza kuanza na mashine ya popcorn tu ukaongeza na Ice cream. Mambo yakawa swaaafi kabisa, mradi mtendaji awe msafi anazingatia usafi muda wote. Unaweza kufanya kazi mpaka ukakimbia.
 
Back
Top Bottom