Ni mafuriko, Tabora yazizima

mafundisho

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
388
136
[h=2]Mgombea mwenza kupitia CCM, Samia amezidi kuiteka Tabora, maelfu kwa maelfu wajitokeza kumpokea mkoani Tabora.Mama Samia ameahidi serikali yake itajitahidi kuhakikisha wanatoa fursa kwa vijana kupata mikopo na kuweza kujiajiri. Serikali itaboresha miundo mbinu hususani huduma za afya na barabara.[/h]



Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Uyui katika jimbo la Tabora mjini.
Maelfu ya wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui, jimbo la Tabora mjini mkoani Tabora
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Nkenge lakini akashindwa katika kura za maoni, Mama Asupta Mshama, akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Shule ya Sekondari Uyui, Jimbo la Tabora mjini mkoani Tabora
Mbunge wa jimbo la Tabora Mjini Emmanuel Mwakasaka akiomba kura katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia, uliofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Uyui, katika jimbo hilo mkoani Tabora leo
 
Huyu ndio Asumpta Mshana?

3.jpg
 
Tabora wanakwenda na ccm wameitika mwaka huu viva emmanuel mbunge unaesubili kuapishwa
 
CCM kwa kuiga maneno, eti mafuriko!!!!!!?????? Mafuriko ni ya Lowassa, tafuteni neno lenu! Kazi kuiga tu, Lowassa alianza mchakamchaka wa maendeleo Arusha, na ninyi mkaiga! Mkaiga tena M4C, kisha neno mabadiliko, hamna ubunifu, hamfai kuongoza nchi!!!!!!
 
Duni yupo leo alipata udhuru kiofisi ila kesho yuko live.

Tabora ni reserve ya nyumbu siyo bnadm.
 
Back
Top Bottom