Ni maandamano au ni mapinduzi?

Kila saa unasema wanaume wanaume wa kazi watawanyoosha hio siku, iv ukiambiw utaje wanajeshi imara unawaweza kuwataja hawa wanajeshi wa Tanzania kweli? Walaa hataaa raia hatuwezi kuwaogopa ikiwa tumechoka basi tutanyooshana vizuri tu, tuombe busara tu na sio unatutishia wanheshi wenye vitambi na mikwara mingi tu.
 
Maandamani ni haki ya kikatiba kama ilivyo vyama vya kisiasa labda ikiwa kifungu hicho kimeondolewa. Mambo ya watu wachache kuondoa haki iliyotolewa kikatiba ni uhuni ambao ukichekewa utatuletea majuto
 
Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Wewe kweli msahaulifu au unajifanya hivyo?
Ni juzi tu tumemzika mwanafunzi wa chuo ambaye hakuhusika na maandamano
 
Maandamani ni haki ya kikatiba kama ilivyo vyama vya kisiasa labda ikiwa kifungu hicho kimeondolewa. Mambo ya watu wachache kuondoa haki iliyotolewa kikatiba ni uhuni ambao ukichekewa utatuletea majuto
 
Hapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao
Wewe nawe usijivike uwendawazimu. Jeshi halijaumdwa na watu wapumbavu wanaoweza kuvurumisha makombora ya mizinga kwa raia wake tena wasio na silaha. Nimehudumu jeshi, naijua miiko yake.

Jeshi liwezacho kufanya ni ulinzi wa maeneo muhimu tu. Linaweza kujibu mashambulizi pale tu kutakapokuwepo watu wanaoshambulia kwa kutumia silaha, na silaha hizo zisiwe fimbo au mawe. Yaliyobakia ni kazi ya polisi, siyo jeshi.
 
Thubutu kufanya mapinduzi uone cha mtema kuni. Jeshini ni Amri tu. Amir Jeshi Mkuu akiamuru waingie vitani wanaingia tu bila shaka. Nasema tena Thubutu kuandamana
 
Maandamano ya amani hayategemei lengo la maandamano bali huzingatia ukweli kuwa ni maandamano yasiyotumia nguvu wala silaha yoyote. Waandamanaji wanaweza kufanya maandamano ya amani wakitaka serikali iondoke au Rais aondoke. Bado ni maandamano ya amani maana hawajatumia nguvu bali wanapeleka kauli kwa mtawala ili naye aondoke kwa amani.

Kulikuwa na maandamano ya namna hiyo hata siku za karibuni huko SA yaliyotaka Zuma aachie nafasi yake ya Urais. Zuma hakuachia lakini chama chake baadaye kilifikia uamuzi kuwa aondoke.

Huyu anayesema kuwa eti maandamano yanayolenga kuiondoa serikali au Rais hayawezi kuwa ya amani ni mbumbumbu mkubwa. Hana uelewa wowote. Maandamano ya amani humaanisha madai unayapeleka kwa mhusika bila kutumia mapambano ya silaha. Haijalishi unataka nini au unachokitaka ni halali au siyo halali.
 
Kama wananchi wataamua kuingia barabarani hakuna jeshi linaloweza kuwadhibiti, watanzania raia watu wazima wapo zaidi ya milioni ishirini wakati askari kwa majeshi yote hawafiki hata laki tano.

Sema uoga wetu ndo mtaji wa ccm, kwanza we unafikiri jeshi halina akili liuwe raia wake sasa litakuwa linalinda nini? Hakuna fomula ya kuuwa watu wengi kwa ajili ya mtu mmoja au watu wachache. Tuombe tu amani tuache vitisho na tutende haki. Yaani hutendei watu haki wakidai haki yao unawadhibiti kwa manyanyaso na vitisho, mwisho wake ni mmbaya siku zote.
 
Siioni sababu ya wananchi kuingia barabarani kuandamana. Bado hatujafikia level hiyo
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.

Lugha Inayo tumika kweli sio sahihi.

nadhani wanakusudia maandamano ya kutoridhika na utawala wa Magufuli. Hivyo maandamnao ya kushikiza ajiuzulu au bunge lichukue uamuzi mgumu wa ku mu impeach kwa kushindwa kuilinda katiba na kutekeleza majukumu yake bila ya upendeleo
nadhani wanakusudia hili. ila lugha labda kidogo wanayo tumia sio sawa.

nimeona Mange akisema hawataki hata ccm kuondoka in fact wanataka Mama Samia apewe serikali.

hivyo tatizo sio serikali bali mtu mmoja
hapo sasa sielewi kama ni mambo ya polisi au JwTZ.....

Haya bado ni mambo ya kiraia na kisiasa...hivyo police ndio yana wahusu kama watahisi wazuie kunafaa ama kuachia
 
Back
Top Bottom