aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,499
- Thread starter
- #21
Dah aisee sina tofauti na mleta sredi...sijajua mwisho wake ni nini
inamaana kuna wengine tutaendelea ku-apply mpaka tufike umri wa kustaafu duh kazi kweli kweli...

Kuna watu hawapati kazi kwa sababu Mungu kawateua wahustle na kuibuka na kikubwa zaidi. Ukose ajira uhangaike ugundue shughuli au biashara yako na kupata mapesa mengi zaidi na uajiri wenzako wenye uwezo mdogo kuliko wako.
Usife moyo kaka/dada. Walk that extra mile ahead of yesterday and do different things.
Kuna rafiki yangu mmoja alimaliza degree ya BA in education UDOM mwaka 2008 na kuanza kusaka kazi mtaani. Alitafuta kazi miaka miwili bila mafanikio YOYOTE! Akaona haitoshi, akarudi tena kusomea Masters UDOM na kugraduate mwaka 2012. Akaingia tena kutafuta kazi.. ... HOLLA!
Aliumia sana moyo na akili. Baada ya mwaka akaacha kutafuta kazi na kumsaidia rafiki yake kuonesha mpira, akajikusanya akanunua mashine ya selcom kuuza umeme, vocha, kulipia ving'amuzi, akaendesha biashara ya kubeti nk. Hapo ni moja baada ya nyingine, msingi wake ulikuwa 300,000/= tu. Akatafuta vijana waaminifu na kugawa majukumu, akafungua branches na kuendeleza shughuli zake. Hapo Bachelor, Masters vyote kaweka pembeni.
Mwaka 2013 akawa amestabilize na jumla ya vijiwe vitatu, na kila kijana anamletea si chini ya 20,000/= kila siku! ===>> 1,800,000/= kwa mwezi! Hapo kalala tu hafanyi kazi yoyote, vijana wanamfanyia kila kitu.
Mwaka jana alianza kuitwa alikoenda kuomba kazi hapo kabla, naye akaenda kufanya interview na kuwasikiliza. Alikataa kazi kwa kuwa offer ya mshahara ilikuwa ni sh. 670,000/=.
Sasa hivi huyooo anapiga misele tu huku pesa zinaingia kama kawaida.
USIKATE TAMAA, JARIBU NAMNA NYINGINE.
Story yako nina ulakin nayo hapo kwa kumaliza udom 2008 ni uongo
Udom imeanzishwa 2007 sasa inakuwaje uyo amalize 2008?

Hey wana JF wasaka ajira kama mimi.
Nimekaa na kujiuliza toka nimemaliza chuo huu ni mwaka wa tatu nimekuwa nikiapply kazi kwa miaka yote hiyo lkn sijapata, pia nimejitahidi hata kutafuta mtaji nijiajiri lkn inakataa.
Sasa hivi nimekuwa naona matangazo ya kazi but nimekuwa mzito kuapply coz nafikiria je ni bora hela ya stamp niende gengeni kula au niendelee kuinufaisha Posta.
Naombeni ushauri hivi inatakiwa muda gani ufike ili mtu aache kutafuta kazi mm najua ukomo ni kupata kazi bt kazi hazipatikani, hebu tushauriane.
Vp aika bado upo kitaa unahusstle?inamaana kuna wengine tutaendelea ku-apply mpaka tufike umri wa kustaafu duh kazi kweli kweli...
ila ukisema unaomba tuta kuuliza unaomba nn
ukisema tukushauri tuta kuuliza tukushauri nn
wewe kama msomi je umeshindwa kutumia Elimu yako au ok utasema tatizo mtaji
ila unajua kuwa mtaji ni kitu kidogo sana kuliko wazo
je una wazo la kufanya au una taka ajira kusimamia mawazo ya wasomi wenzako
mbadala wa mtaji ni wazo