Ni lazima kutumikia kisiasa serikali usiyokuwa na imani nayo

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Nimeshangaa sana kusikia malalamiko ya Samwel Sita na leo kutoka kwa Dr Harrison Mwakyembe na barua aliyoiandika: kuna tatizo na mgogoro kati ya serikali hii ya Jk na watu hawa pamoja na wale wanaopinga ufisadi. Mimi nawauliza kwanini wasiache kazi? Ni lazima watumikie huyu kafiri wao? Nawasikitikia
 
Hawana lolote njaa inawaua!! Huoni yule mwenzao waliekuwa wanajipambanua naye kuwa nae anapinga ufisadi, Beatrice Shellukindo!! Sasa yule mama ndio amegeuka kuwa mtetea mafisadi aliokuwa anawapinga; yote hiyo sababu ya njaa, jamaa wamempa vijisenti kidogo na tiketi ya ndege kwenda kwa nabii wao Joshua ameanza kuimba wimbo wao. Hawa jama hawana ITIKADI!!
 
Ama kweli njaa mwanaharamu, lakini hatahivyo hizi siyo njaa za kawaida maana wanaonekana pesa wanayo labda wanaitaka pesa ya kifisadi tu. Na huyo TB Joshua kwa kuwadanganya, sasa eti ameanza kuhesabu siku za 60 za Mugabe kufa kama alivyotabiri....na mwisho wa siku tisini atalipuka na jambo halafu watu wataamini...manabii wa uongo balaa.
 
Muanzisha thread braaaavooo!!!

ukiwaza kama wewe hivi nchi hii utakuwa confused........!!
 
Nimeshangaa sana kusikia malalamiko ya Samwel Sita na leo kutoka kwa Dr Harrison Mwakyembe na barua aliyoiandika: kuna tatizo na mgogoro kati ya serikali hii ya Jk na watu hawa pamoja na wale wanaopinga ufisadi. Mimi nawauliza kwanini wasiache kazi? Ni lazima watumikie huyu kafiri wao? Nawasikitikia
wamezoea vya kunyonga, vya kuchinja hawawezi

I think JK should have removed Sitta for now, coz there is definitely loss of collective responsibility
 
ukiwaza kama wewe hivi nchi hii utakuwa confused........!![/QUOTE]

Really I'm confused na matendo ya hawa anti-fisadi ndani ya CCM, ''Wanasema wanasiasa ni kama malaya/changudoa....akipata pesa zaidi anamuaga mshikaji wake hata kama walikuwa wote tangu asubuhi''....nadhani wanatumikia matumbo yao sasa hata waogopa kuondoka CCM?serikalini watakula wapi? na matumbo yao yamekuwa makubwa kuliko kawaida
 
wamezoea vya kunyonga, vya kuchinja hawawezi

I think JK should have removed Sitta for now, coz there is definitely loss of collective responsibility

I suppose Sitta should have gone (quit by himself) somewhere he fits.....hata chama chake anaweza kuanzisha, anazidiwa hata na Mtikila?
 
Back
Top Bottom