Ni lazima CCM ing'oke 2015!

Hata wewe utakufa tu na ujinga wako pambaf kabisa wewe.

Kamanda achana na tikiti hilo make haelewi naposema kuingia msituni kama naye ni mlengwa katika harakati hizo na kamwe hatabaki salama labda tu aihame Tanzania...tuendelee tu kuonana wajinga ipo siku hataiona nuru
 
mawazo ni mawazo, ila hii haikukaa sawa, bado naomba kusema kwamba ni mwendawazimu pekee aneweza kutia mkon kwenye moto.
hivyo pamoja na mawazo yako mkuu ila hii kama uko ndotoni vile.
ziko njia nyingi na za kupambana kisiasa, ila hii sio moja wapo, mana kwa wazo hili wewe huna tofauti na wengine duniani wanodhani kumwaga damu ndio ukombozi na wkamba onceukisha kumwaga damu mambo yatakaa sawa . angalia mifano minig duniani na ile ya karibuni ipo, nenda huko huko libya. usirudi sana kwenye nchi kama iraq wala kenya.
halafu tupe muono wako.
 
Back
Top Bottom