NI KWELI UWEZI MSAHAU n KUNA WANAUME HAWAWEZI?

hizo bikra zikoje jamani...
sijui vijana mshaona ndo kamladi?
kwani ukitoa bikra dudu linabadirka rangi?
sasa nini faida ya kuhangaika kumtoa demu bikra?
na ndo maana nao wanawapiga kanda la kichwa kwa bikra za kina JET LI!
mazima!

bikra issue ndio, pale ndo ujanja ulikoegemea
 
Utasahauje?
Mimi nawakumbuka wa kwanza mpaka wa 32.
Au ulikuwa unamaanisha nini?
mwanaume sisahau itakuwa mwanamke aliyepata maumivu,kwa sisi tuliosoma kiswahili tunasema mtoa mada amefanya tashtiti
 
Mbona kama vile wenyewe wameingia mitini. Ukiona hivyo meli imegonga kingo.
 
Utasahauje?
Mimi nawakumbuka wa kwanza mpaka wa 32.
Au ulikuwa unamaanisha nini?

Dah 32! Kama ni kweli hata atakayekuoa hutampenda na hatakuridhisha maana umeishaona ndefu, nene, nyembamba, zilizopinda,fupi, etc.Mumeo hawezi kukuridhisha hata kidogo.
 
Maswali mengine bhana! Why does it have always to be "Mwanamke hawezi kumsahau mwanaume wa kwanza". Kwani wanaume huwa tunasahau wanawake wetu wa kwanza?


That event is one of its kind, na atakae sema amemsahau, awe mwanamke au mwanaume atakuwa anaongopa tu na si vinginevyo. Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom