Swali la kwanza, ni kweli mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemtoa bikira endapo tuu huyo mwanamke alikuwa akimpenda sana huyo jamaa. Sio hiyo tuu ubikira, hata kama jamaa alikuta pameshafunguliwa, kama mwanamke alikuwa anampenda sana jamaa (ujue wanawake wengi wanapoingia kwenye mahusiano, anapoamua kumpenda mwanamume huwa anampanda jama with true love) af wakaachana, na kama aliyesababisha kuachana ni mwanamume, huyo mwanamke atabaki na hilo kovu moyoni whenever such memories come in her mind.
sina uhakika ila ni mtazamo wangu tuu
.Hivi ni kweli kwamba Msichana hawezi kumsahau mwanaume wake aliesex nae kwa mara ya kwanza hata akiwa kwenye marriage! na ni kweli kwamba kuna Wanaume hawawezi kumtoa mwanamke Bikira?
Yanaweza yakawa yamekuzidi umri lakini unayajua, embu mwaga vitu hapo tuokote!mh!mi yamenizid umri haya mambo naogopa kukomaa bure
inaelekea wewe sio mwanamke
.Yes. kuna namna mbili positive or negative, kama mara ya kwanza ulimtumia kinguvu hatakusahau katika maisha yake kwa ukatili wako, kama mlikubaliana akakupenda akawa tayari kujitoa kwako ukampokea vizuri ukampa penzi la kweli kisha ikatokea mkaachana kwa amani, kwasababu zilizo nje ya uwezo wenu kweli atakukumbuka sana( atakumis) kama ilitokea mkaachana kwa shari, hatakusahau kwa ubaya wako;hiyo ya pili kweli sijui, mimi ninavyo jua kinachotoa bikira si mwanaume ni uume.
hili swali mbona linaulizwa mara nyingi hivi lina maslahi kwa taifa kweli?Hivi ni kweli kwamba Msichana hawezi kumsahau mwanaume wake aliesex nae kwa mara ya kwanza hata akiwa kwenye marriage! na ni kweli kwamba kuna Wanaume hawawezi kumtoa mwanamke Bikira?
mh!mi yamenizid umri haya mambo naogopa kukomaa bure
ni kweli hata kwenye rasimu ya katiba mpya ipo hiyo!