Ni kweli Rais anapotoshwa?

Halafu kuna hili suala la kuheshimu mihimili ya Dola. Wabunge wamenyamazishwa kuzungumzia suala la madaktari kwa kuwa liko mahakamani. Rais ana mamlaka gani ya kutoheshimu mahakama hadi alizungumzie kwa kina vile kwenye hotuba yake? Najaribu kuwaza tu.
 
Back
Top Bottom