Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

Wasalaam madaktari na wahenga...

Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili.

Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri.

Kwanza ameokoka na katika uchumba wetu, aligoma tusifanye mapenzi kabla ya ndoa otherwise hatutafikia hatua ya malengo yetu, nilitika kishingoupande ila sikukubali kwakua wanawake wa mjini ni janja janja saana. Niliendelea kumchombeza mwishoe akajaa akahitaji tu sex.

Alinipa taadhari kwamba ni miaka mitatu hajafanya mapenzi hivo anahisi atakua kama bikra. Nilifurahi kusikia hivo.

Basi siku tunakutana sikuamini alijifanya kuhangaika na kuomba atandike kitenge chake ili asijechafua shuka la hotel, nilianza kuona vitu vya ajibu kama discharge zenye u kijani nikasema ngoja ni stop nijifute, kuja kufuta zikabadilika rangi na kua nyekundu mithili ya damu, kumcheki na yeye kwenye uke kuna damu? Kumuuliza anasema anashangaa hata yeye hajui pengine ni bikra ivo nimemtoa bikra upyaa.🙄🙄🙄

Akaniambia amekua akiskia maumivu nilipokua na muingilia kwakua ni mda mrefu, hata ivo amekua mtu wa maombi saana kiasi ya kwamba mtumishi wake alimwambia anaweza rudisha bikra yake atakama alisha zaa.

Kifupi damu zilitoka nyingi hadi kero lakini chaajabu sijaona ugumu katika kumwingilia, yaani nikama nilikua nafanya mapenzi na mwanamke mzoefu... nikabaki najiuliza je ni bikra fake (maana naskia zipo) au ni mgonjwa??

MADAKTAR mnisaidie sio mgonjwa kweli?? Na ka mgonjwa atakua anaumwa nn?? Na je hajaniambukiza?

Na nikweli bikra ya nyuzi inaweza kurudi ndani ya miezi mitatu?

Makungwi pia nisaidieni hapo?

kuhusu period hakua tarehe za period

natanguliza shukrani🙏
Umeanza kupagawa?
 
Hii ya Leo Kali

Kuna Raha ya kudate Mwanamke mwenye drama hivyo jiandae akija na lingine.

Ukimfuatilia kwa makini utagundua amekudanganya vitu vingi
Uko sahihi kabisa na pia amekua mwepesi kutumia pesa kuni bribes nadhani nifanye maamuzi ya kiume fasta
 
Mkuu, pole sana.

Bikra unaelewa kwanza ni nini?
Kwa lugha nyepesi Bikra ni uwepo wa HYMEN.

Je, Hymen ni nini?
Hymen ni utando mwembamba wa tishu unaozunguka na kufunika sehemu ya kufungulia ya uke.

Sasa mwanamke akishaingiliwa (iwe kwa hiari ama lazima) ule utando utajikaza na kuchanika.

Na kuchanika kule ndiyo haswa kunakopelekea kutoka damu na wahusika kuita kuvunja bikra.

Je, bikra inaweza kurudi baada ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu?
Jibu ni HAPANA. Ikishakatika haiwezi kuota tena kwa namna yeyote ile.
Kitabibu haiwezekani abadani.

Ukweli pekee ni kuwa, uke wa mwanamke una uwezo wa kujirudi na kupungua size isipotumika kwa muda mrefu. Ndiyo kunakopelekea kubana na pengine kuhisi kitu haijatumika.

Je, ni nini hicho ambacho kimepasuka na unachikiita damu!?
KItabibu ndiyo zipo capsules ziitwazo Vaginal suppositories. Hizi hutumika katika kubalance PH ya kwenye uke na kutibu baadhi ya maambukizi.

Lakini pia kuna ambazo hutumika kienyeji kwa malengo mbalimbali. Haswaa, kudanganya.

Je, umepata maambukizi?
Hakuna jibu la moja kwa moja. Kwa sababu usahihi pekee ni kupima na kujua kama umeambukizwa ama la. Au pengine mabadiliko kwenye viungo vyako vya uzazi.

Hujatueleza pia kuwa hiyo discharge ilikuwa na harufu gani? Uume wako uliwasha? Kuna mabadiliko yeyote?

Fika hospital kwa uchunguzi.
Nashukuru saana Dr. Ushauri wako nimeupokea na kuelewa.

Kuhusu harufu ukweli hapakua na harufu yeyote, na wala sijapata muwasho zaidi nilishangazwa na ile damu kua nyepesi saana
 
Back
Top Bottom