ni kwel huyu mwanaume anamapenz na mm??

inawezekana una swagga sana so jamaa akaamua ku test swagga zina test vipi? au una zigo la kufa mtu nini maana boy akaamua ku taste. tatizo la ma BOY ni kuwa feelings zao nyingi bd zipo kwenye kichwa cha chini sasa zimerudi kichwa cha juu kajitambua anarudi kwa gf wake pole dada swaggaz!!!!
 
Hakuna mapenzi ya kweli hapo! Kama angekuwa anakupenda kwa dhati, asingemfikiria gf wake wa zamani. Kwa vyovyote, feelings zake hazipo kwako kivile, ndiyo maana taswira ya gf wake wa zamani bado ipo. Kama unazuga zuga, poa, lakini usitarajie kufika naye mbali ili baadaye usije kuumia pale atakapokuchoka.
 
And what are u waiting for, go back to yor x and make up da thing, try to love him as b4, sit down with him and solve yo differences, i know you break up with yo man because this other man told you that he feels about you, so when you get misunderstand, yu think its time for you to go to yo school boy. YOU WERE WRONG.
This school boy of yours doesnt love you, he just admired you ( dont tell me you have already given him da thing). he wont come back for you. and i'm telling you the truth he didnt break to the girl he love. IT WAS KIDDING. POLE.
 
he heeee
english yako mi niko hoi..
ukichanganya na kiswahili ndo kabisaaa
wewe kweli sharomaro,au sharobaby sio?

Huyu anafanana na yule aliyejiita handsome. Anapendwa na wanawake kwa sababu ni handsome, pia alishawahi kwenda Kwa Mzee Madiba. Pia anafanana na yule jamaa wa St. John University. Tofautii ni kwmaba huyu anajifanya Mwanamke. Wanachofanana: Wote hawajui Kiingereza, Wote story zao ni za kujifanya wapo chuo.

Jamii forums imevamiwa na upupu
 
Unajua kwa sisi wanawake ni mara elfu moja mtu akupige chini aende kwa mdada mpya si kwa X wake. Yani hapo dada lazima ujisikie vibaya maana hapo jamaa ameku compare na X anaona lo nini kimenileta hapa. Kwa kifupi ali judge a book by its cover ameanza kusoma kagundua its not what he was looking for. Ushauri wangu jitahidi kadri uwezavyo kumtoa kabisa kwenye mawazo yako tena ashindwe alegee; who is he to tell you kuwa umpe muda ajifikirie kati yenu nani zaidi? Yani anawachagua kama machungwa! Hata akikurudia anatambaa usimkubali tena, move on otherwise you will always remain the "other woman". Mpende akupendae hacha kupoteza muda na mtu mwenye mashaka na penzi lake kwako. There is someone somewhere who will treat you like a queen but only if you break up with these players.
 
kwa hyo umeridhika kupangwa kama mafungu ya nyanya? Unajua ana mtu wake nwe umemkubali,kesho na keshokutwa utakuja hapa udai umegundua mpo wawili unaomba ushauri. Kha!
 
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by da tym nilikua na m2 na yy alikua na wake,ikatokea nikagombana na mpenz wangu mpaka tukaachana na yy alijua pia coz tulikuwa close.,.nimekaa single km 7month na yy stil akawa ananiambia ananihitaj na kudai wameachana na mpenz wake,now nimemkubal and i real fil 4 him then yy anadai yupo dilema btn me n girl wak

Mmh! inaonyesha mapenzi yenu bado yana utoto mwingi,hebu someni kwanza mapenzi yasiwachukulie muda sana, zingatieni masomo kwanza, msiwape uchungu wazazi/walezi wenu, tuachieni sisi tulioota mvi hadi videvuni, ninasema haya ninafahamu, mapenzi yanagharimu sana afu yapoteza muda bila kutambua utastukia mitihani ya mwisho hiyo, we bado unahangaika na huyo BOY! mra ku-reconcile, mara hivi, najua utapata muda kunielewa au usipoeelewa utaihia kutoa..:mimba: Aksante!
 
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by da tym nilikua na m2 na yy alikua na wake,ikatokea nikagombana na mpenz wangu mpaka tukaachana na yy alijua pia coz tulikuwa close.,.nimekaa single km 7month na yy stil akawa ananiambia ananihitaj na kudai wameachana na mpenz wake,now nimemkubal and i real fil 4 him then yy anadai yupo dilema btn me n girl wak

..........puppy luv...
 
Aisee '' Huwezi kutumikia mabwana wawili'' Maana mmoja utamuacha na kumfuata mwingine. Kifupi huwezi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja. Na kama wakati mkiwa bado na bond zenu mliduu;; basi sahau kabisa maana yake ok nje ya mawazo yake anachofikiri ni namna ya kuvunja huo uhusiano. '' Usije ukamwonyesha mtu yeyote udhaifu wako katika mahusiano hasa kutemebea nae huku akijua wewe ni girlfried wa mtu mwingine , kamwe hatakuoa hata kama atasema unakupenda vipi na '' AMEGEWE""
 
u knw what,da thing is nilikua nae chuo.,.the aliniakikishia kuwa wameacha na mpenz wake,bt now anadai yupo dillema coz ni kwl anania nzur nam but stil anafilings na x wake bt kaniomba nimpe mda aamue!ukwl aliniumiza sn .....dats y nashindwa kumwelewa!!
achana na huyo kivulana, hustahili kuwa second option... wanaume wapo kibao humu planet earth
 
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by da tym nilikua na m2 na yy alikua na wake,ikatokea nikagombana na mpenz wangu mpaka tukaachana na yy alijua pia coz tulikuwa close.,.nimekaa single km 7month na yy stil akawa ananiambia ananihitaj na kudai wameachana na mpenz wake,now nimemkubal and i real fil 4 him then yy anadai yupo dilema btn me n girl wak
"Alikuwa ana onja chumvi, sasa kaona umetia pakiti nzima"
 
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by da tym nilikua na m2 na yy alikua na wake,ikatokea nikagombana na mpenz wangu mpaka tukaachana na yy alijua pia coz tulikuwa close.,.nimekaa single km 7month na yy stil akawa ananiambia ananihitaj na kudai wameachana na mpenz wake,now nimemkubal and i real fil 4 him then yy anadai yupo dilema btn me n girl wak
Simpendi mtu anayeumba herufi kama wewe na kufupisha kama hivyo huwa hata sisomi kabisa
 
Pole sana, kwa uzoefu nilionao ni kwamba huyo jamaa kuna kitu bado anakipenda kwa x wake, yaani moyo wake bado upo kwake na umekosea sana kuonesha kuwa unampenda sana mpaka anaanza kukutamkia kuwa eti yupo dilema kati yako na x wake.
Trust me, mwanaume anaekupenda hawezi kukuongereshea upuuzi huu, wewe umeonesha kumpenda sana na jamaa anatumia huo udhaifu wako kufanya anayofanya.

USHAURI:
Unaonekana una moyo mwepesi sana wa kumpenda mtu, yani ukipenda umependa. Piga chini huyo mwanaume, punguza mazoea nae taratibu, ukiendelea kumpenda utakuja kuumiza moyo wako kisha ukaja kutulilia humu Jamiiforums
 
hii post ya siku nyingi mkuu since 2011, atupe mrejesho kama kashaolewa na jamaa ama nini kiliendelea?
 
Expectations zake hazija match na alichokikuta kwako baada ya kumkubalia.periodHili ndo tatizo letu wanaume, sexual desires inaweza ikuchanganye ufikiri unampenda binti kumbe si kweli. Prbm aliyonayo jamaa kwa sasa na ambayo nahisi inamtesa ni comparison anayoifanya kati yako na ex wake. Sasa kama ex wake kaujaza ubongo wake kuliko wewe basi tena penzi lenu ndo baibai.
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom