Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Elimu hawana zaidi ya biashara ya mabasi, kula tende,mirungi na kuvaa kanzu lakini kichwani weupe, wazungu elimu ipo.
Unaongelea waarabu wa nchi gani hao ?!!

Unajua hwenda tukawa na mtazamo finyu sana juu ya watu...unaongelea hao WAMAHARA wa kariakoo....akina GSM ?!! Na wenzao?!!

Hao kweli wametoka Yemen....wengi wao biashara....ila miaka ya kati wameanza kusomesha watoto wao....nawajua vijana wengi wenye masters na wengine wanasoma PhD sasa kabla ya kufikia umri wa 35....hivi mkulima ,mfanyabiashara na mfugajk huwa anaweka mkazo kusoma?!!!

Ila waarabu wako DIVERSE mkuu...kwa hiyo wale wa SUDAN hawasomi pia ?wamisri hawasomi pia ?hawa Dubai wanaokuja kuwekeza ?!! Are you serious?!!

Kwa hiyo waarabu wa qatar wenye abundant LNG na biashara za kimataifa na Al Jazeera hawasomeshi watoto wao ?!!!

Waarabu wa Quwait hawasomeshi watoto wao ?!!!

Kwani ni Nani aliyekuambia hakuna wajinga miongoni mwa waarabu ?!!

Wazungu wote werevu ?!!

Sisi waafrika wote werevu?!!

Tunakwenda shule kusomea "ungese na kupakana mafuta"?!!!

#SiempreSSH

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Wewe siyo Muislamu.
 
Umasikini ni kama una sumaku, ni ngumu sana masikini kutajirika, atahitaji nguvu ya ziada kuvunja mzunguko wa umasiki katika familia.

Kwa hiyo nawaelewa wanaepuka shida za umasikini. Pia ukiwa masikini kila kitakachoongelewa au kufanyika; utaanza kujishtukia kama wanakusema au kubaguliwa.

Japo sikatai kuwa ubaguzi haupo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uko desperate unataka upendwe na kila aliyeko mbele yako ?!!!

Uwe na chako uingie mikataba kama hii ya DP WORLD...na si kulialia tu

Hakuna mwenye kujiamini akabaguliwa....wanaanzaje?!!!

Mbona hao waarabu wakitaka kitu kwako HAWAKUBAGUI?!!!

Ni sawa tu na mswahili na mtanzania akitaka kitu kwako....atakuachia tabasamu na salamu nzuri tu....kinyume chake anaweza kukupita nje kwako bila ya salamu ilihali ni majirani hata miaka kisa tu wewe uko chini kikipato kuliko yeye....Binafsi NIMELIEXPERIENCE hilo mara kibao katika hurstling zangu tena kutoka kwa vijana wa umri wangu....ajabu siku anashoboka na salamu nyingi kumbe kuna kitu anahitaji....wabongo weusi tiii

#MamaAnaugongaMwingi

Umeongea fact upewe maua
 
Unafuatilia nini ?!!!

Hivi ukijiamini unabaguliwaje ?!!

Unaanzaje kubaguliwa??!!!

Iwe na mwarabu ,mhindi ,mzungu ama mchina?!!!

Waafrika tu wako wabaguzi dhidi ya wenzao....kikabila ,rangi ,kipato....ssmbuse watu wenye damu nyeupe?!!!

Dunia ya sasa ya SOKO HURIA na MAARIFA mapana...vilio vya kubaguliwa havina maana....

Unakuwa wapi mpaka mtu anakubagua?!!

Mfukoni mwake ?!!!

Kwanini uwe mfukoni mwake ?!!

Why desperation?!!!

Umesema kuwa mwafrika hata awe muislam na kuwa (Qari) fundi wa kusoma Quran hawezi kuoa hao waarabu...right?!!!

Nisikilize....watu wengi hawana imani ya dini vile wanavyojionyesha ukubwa wa kuwa nayo....iwe hao waarabu ama wengineo....

Sasa unataka mwarabu asiye na IMANI kubwa ya dini akupe binti yake kwa kuwa tu wewe "una sauti " kinanda ya kusoma Quran ?!!!

Hao waarabu wengi ni wafanyabiashara....akili zao ziko katika biashara na KUPATA FEDHA eti wakuhusudu wewe MRANGI ,MDIGO ,MUHA uliyehifadhi msahafu kwa kichwa na huna kitu wakupe BINTI YAO kwa kigezo hicho tu labda zamani....sikatai..ziko familia chache ila wengi wakitaka KUZISIKIA HIZO SAUTI NZURI zikisoma QURAN(tajweed ,tartil na hukumu zake) wanawaita walimu wa madrassa wakitoa elfu 50...walimu hao wanakuja na vitoto vya madrassah na kuanza kusoma Quran tukufu ,ikifuatiwa na WASSILATU SHAFI ,Kitabu cha Maulid Barzanji ,wanapiga madufu na nari zake wakimaliza wanajipiga BIRIANI chuzi zitooo...nyumba ya mwarabu tena ,kitonga mseleleko....shughuli ikiisha wanawaaga mpaka siku nyingine...ustadh anakwenda kutamba kijiwe cha kahawa na Al Kasus....
Ya nini mwarabu "afuge mkwe" wa kirangi ,kiha ,kisambaa ,kinyaturu ,kimeru kisa tu NI FUNDI WA KUSOMA QURAN?!!!

Dunia imebadilika....fedha fedha fedha si hao waarabu si wewe Mngoni.....

#SiempreJMT
#MamaAnaupigaMwingi

#DP World ndio habari ya mjini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
watu wenye damu nyeupee!
 
Unaongelea waarabu wa nchi gani hao ?!!

Unajua hwenda tukawa na mtazamo finyu sana juu ya watu...unaongelea hao WAMAHARA wa kariakoo....akina GSM ?!! Na wenzao?!!

Hao kweli wametoka Yemen....wengi wao biashara....ila miaka ya kati wameanza kusomesha watoto wao....nawajua vijana wengi wenye masters na wengine wanasoma PhD sasa kabla ya kufikia umri wa 35....hivi mkulima ,mfanyabiashara na mfugajk huwa anaweka mkazo kusoma?!!!

Ila waarabu wako DIVERSE mkuu...kwa hiyo wale wa SUDAN hawasomi pia ?wamisri hawasomi pia ?hawa Dubai wanaokuja kuwekeza ?!! Are you serious?!!

Kwa hiyo waarabu wa qatar wenye abundant LNG na biashara za kimataifa na Al Jazeera hawasomeshi watoto wao ?!!!

Waarabu wa Quwait hawasomeshi watoto wao ?!!!

Kwani ni Nani aliyekuambia hakuna wajinga miongoni mwa waarabu ?!!

Wazungu wote werevu ?!!

Sisi waafrika wote werevu?!!

Tunakwenda shule kusomea "ungese na kupakana mafuta"?!!!

#SiempreSSH

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukatili wanaofanyiwa wadada wa ki Africa huko arabuni kama si kukosa elimu ni nini?
 
Unafuatilia nini ?!!!

Hivi ukijiamini unabaguliwaje ?!!

Unaanzaje kubaguliwa??!!!

Iwe na mwarabu ,mhindi ,mzungu ama mchina?!!!

Waafrika tu wako wabaguzi dhidi ya wenzao....kikabila ,rangi ,kipato....ssmbuse watu wenye damu nyeupe?!!!

Dunia ya sasa ya SOKO HURIA na MAARIFA mapana...vilio vya kubaguliwa havina maana....

Unakuwa wapi mpaka mtu anakubagua?!!

Mfukoni mwake ?!!!

Kwanini uwe mfukoni mwake ?!!

Why desperation?!!!

Umesema kuwa mwafrika hata awe muislam na kuwa (Qari) fundi wa kusoma Quran hawezi kuoa hao waarabu...right?!!!

Nisikilize....watu wengi hawana imani ya dini vile wanavyojionyesha ukubwa wa kuwa nayo....iwe hao waarabu ama wengineo....

Sasa unataka mwarabu asiye na IMANI kubwa ya dini akupe binti yake kwa kuwa tu wewe "una sauti " kinanda ya kusoma Quran ?!!!

Hao waarabu wengi ni wafanyabiashara....akili zao ziko katika biashara na KUPATA FEDHA eti wakuhusudu wewe MRANGI ,MDIGO ,MUHA uliyehifadhi msahafu kwa kichwa na huna kitu wakupe BINTI YAO kwa kigezo hicho tu labda zamani....sikatai..ziko familia chache ila wengi wakitaka KUZISIKIA HIZO SAUTI NZURI zikisoma QURAN(tajweed ,tartil na hukumu zake) wanawaita walimu wa madrassa wakitoa elfu 50...walimu hao wanakuja na vitoto vya madrassah na kuanza kusoma Quran tukufu ,ikifuatiwa na WASSILATU SHAFI ,Kitabu cha Maulid Barzanji ,wanapiga madufu na nari zake wakimaliza wanajipiga BIRIANI chuzi zitooo...nyumba ya mwarabu tena ,kitonga mseleleko....shughuli ikiisha wanawaaga mpaka siku nyingine...ustadh anakwenda kutamba kijiwe cha kahawa na Al Kasus....
Ya nini mwarabu "afuge mkwe" wa kirangi ,kiha ,kisambaa ,kinyaturu ,kimeru kisa tu NI FUNDI WA KUSOMA QURAN?!!!

Dunia imebadilika....fedha fedha fedha si hao waarabu si wewe Mngoni.....

#SiempreJMT
#MamaAnaupigaMwingi

#DP World ndio habari ya mjini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Japo kuna mahali umeweka masikhara ila umeongea kweli sana!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.

Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana...

Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
Wanaume bwana! Kwahiyo chuki yenu kwa Waarabu sababu yake ni kushindwa kuoa wanawake wa Kiarabu?

Mkikubaliwa kuwaoa chuki itaisha? Hamtajali tena mkikaliwa nao si ndio?

Vipaumbele vyenu vinatia shaka sana na mnatia aibu.
 
Sipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Duh!!!Hii Kali sana...😰😨😧😦😮😯😲
 
Uko desperate unataka upendwe na kila aliyeko mbele yako ?!!!

Uwe na chako uingie mikataba kama hii ya DP WORLD...na si kulialia tu

Hakuna mwenye kujiamini akabaguliwa....wanaanzaje?!!!

Mbona hao waarabu wakitaka kitu kwako HAWAKUBAGUI?!!!

Ni sawa tu na mswahili na mtanzania akitaka kitu kwako....atakuachia tabasamu na salamu nzuri tu....kinyume chake anaweza kukupita nje kwako bila ya salamu ilihali ni majirani hata miaka kisa tu wewe uko chini kikipato kuliko yeye....Binafsi NIMELIEXPERIENCE hilo mara kibao katika hurstling zangu tena kutoka kwa vijana wa umri wangu....ajabu siku anashoboka na salamu nyingi kumbe kuna kitu anahitaji....wabongo weusi tiii

#MamaAnaugongaMwingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unaongea kweli sana sema tu Leo nimekuwa mvivu wa kuandika ila natamani sana nijazie nyama

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka umpate muarabu kirahisi awe mjane au muarabu wa Pemba.
Point....

Wewe Sasa umenena.....na ukiwa nazo mbona "mserereko" kwa hao....

Ni sawa na kutongoza demu wa chuo...aliye vyema kwao...mapokopoko manjari yote na ni mzuri ...mzee humpati hata akiwa ni mngoni....msubirie sasa afike beyond 30...hana ndoa ,hana mtoto....uone balaa lake kwa kushobokea masela wamuweke ndani....nendeni Triple 7 Kawe muone madada waliokuwa wanaringa 10 years back....leo wanashoboka tu kwa masela ambao "upstairs" kuko vizuri

Nasemea wale masela "manunda" wenye elimu na "vijisenti" wasio na woga na desperation yoyote kwa yeyote na ni ALPHA MALES wanaoishi na "wewe" vile unavyowaface.....

Binafsi nina Xprnc na hao waarabu...nishawahi kuwa na GF mwarabu kabisa...hakuwa mbaguzi na alinipenda kwa "usela smart na kichwa changu" kila mtu aliyesoma nami chuo kikuu aliujua uhusiano wetu wa miaka mingi....so ikitokea mtu anafanya generalization huwa namshambulia kama nyuki eti tu kwa kuwa yeye hakuwahi kuchakata mbususu zao....

#SayNoToRacism
#SayNoToBigotry

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Kwa nini mnawaendekeza hivyo? Wachaneni! (katika maana zake zote tanzu!)
 
Back
Top Bottom