Ni kwa nini wanaume hupiga wanawake?

Nimewahi kufanya uchunguzi kwa binadamu, wanyama na ndege kuhusu mahusiano ya jinsia ya kike na kiume na sikuwahi kona wanyama wala ndege wa kiume akipigana na mwenzake wa jinsia ya kike, hilo halina ubishi. Lakini nikabaini kwamba ni binadamu tu wa kiume yaani wanaume hupiga wanawake tofauti na wanyam na ndege. Kwa kweli sikupata jibu.

Je, wanaume (binadamu) ni katili ?
Wanawake ni wachokozi ?
Je, binadamu kakosa busara hata anazidiwa na wanyama na ndege ?
Je, kuna jinsia imesahau wajibu wake wa jinsia yake ?
Je, sababu ni nini ?

Naomba wana JF mnisaidie.

Mzee Kibiongo - Nisaidieni nisije nikazidi kupinda kwa kibiongo changu.
Mwanamke hapigwi bwana,ila kwa kipande cha khanga,Mwanamme nae hapigwi.
Hata siku moja isijetokea wapenzi mkapigana,ni kosa kubwa sana.
WANAUME; yapo maneno ambayo ukimwambia mwanamke,adhabu yake ni ubwa zaidi ya fimbo 100 na kwa kweli hata sahau na harudii tena kosa.
WANAWAKE; mwanaume akikuudhi sana sana,usimpige wala kumkoromea we anza kulia taratiiiiiiiiibu kwa uchungu mkubwa.Hiyo inafanya kazi sana kuliko uwe mkali au umpige mmeo si unajua tena huruma zetu sisi wanaume? nitakuonea huruma na kukuomba radhi kiutu uzima baada ya mechi mambo yameisha sirudii tena,wanaume wachache wanaovumilia kuona wake/wapenzi wao wakilia
 
Hallow,
Nimekukubali. Kweli mwanaume kumwona mkewe analia halafu yeye akajikausha, ni nadra sana. Ila pale mwanzo kuna mchangiaji alisema watu wa Mara wanaongoza kwa vipigo, sikumwelewa, ni wanaume au wanawake ndio hupiga wenzao na kwa nini. Hebu atufafanulie.
 
awa watu wanauzi nyie, ningependa wachangiaji wa thread ii wawe wanandoa ndio utapata majibu! tuache kuiga maisha ya tamthilia, maana wanawake wa cku izi wanaiga maisha ya tamthilia ambayo si halisi sasa mwanamke akikuletea izo kweli utamuacha? amini nawaambia 70% ya wanaume wanaowapiga wake zao ukifuatilia visa vyao unaona wana haki, utakuta mtu hataki kumuach mkewe lakn ndio anakua jeuri, unajua kwa nini watu kwenye ndoa wanapigana baada ya mwaka wa ndoa yao, mwanamke anajisahau kwa sababu kamzoea, sasa akichapwa ni anakumbushwa tu!
 
Inakuwaje pale mkorofi anapokuwa ndo mwenye miguvu? 'displin' yake ni nini?
Mwanamume mjanja habondi mkewe, na mke mjanja hapigwi, ni kila mmoja kusimama ktk zamu yake. Nnachojua kwa Wakristo waume wanaagizwa kuwapenda wake zao, na Wanawake wanaagizwa Kuwatii waume zao...Hivi vitu 2 vikibalance hakuna kipigo

...kwa jinsi ulivyoandika, sidhani kama umeoa/kuolewa.

Hakuna kitu kama hicho kwenye Imani yeyote ile, eti kubalance Utii na Upendo hata kama Kanisa limeamuru. BTW, siwezi kuamini blah-blah hiyo toka kwa mchungaji ambaye kutokana na Imani ya kanisa haruhusiwi kuoa, wala kuwa na mke asiyejua 'chungu' ya raha/machungu ya kuishi pamoja.

Utii na upendo huanzia nyumbani kwa wazazi, ukijumlisha na mazingira mtu anayokulia, ambayo baadae yanakuja kumpa mtu busara na hekima ya kuamua zuri na baya.

Vile vile, Upendo unaouzungumziwa kwenye maisha (i.e wazazi, ndugu etc), na Upendo wa Mapenzi kwa Mkeo/Mumeo ni vitu viwili tofauti. Pamoja na kuikataa hoja yako, 'pigo la kuumiza' ni jambo lisilopendeza katika maisha ya ndoa. Haifai kutenda lile usilopenda kutendewa.
 
Mie kwetu mwanamke kupigwa ni ishara ya upendo jamani sina tatizo akinipiga mradi tu asiharibu reception yangu
oooh jamani haya makabira yetu haya mmh mzee kibiongo upo hapo
 
Kila mtu anahitaji discipline bana, hata wanaume huwa wanadundwa, fuatilia utapata ukweli
 
Mie kwetu mwanamke kupigwa ni ishara ya upendo jamani sina tatizo akinipiga mradi tu asiharibu reception yangu
oooh jamani haya makabira yetu haya mmh mzee kibiongo upo hapo
Nimependa hii FL1, naomba uanzishe darasa lako la kitchen party hapa uwafunze hawa mabinti ukweli wa mambo kuwa kupigwa na mume raha sana, ni signature ya mapendo
 
Nimependa hii FL1, naomba uanzishe darasa lako la kitchen party hapa uwafunze hawa mabinti ukweli wa mambo kuwa kupigwa na mume raha sana, ni signature ya mapendo

Ni vyema ICU ..kupigwa ni ishara ya mapenzi mie kama FL1 nakubaliana na yo mmh!unakumbushwa pale ulipokosea
teteteteh ila ni kwa kabila letu tu kwingine thijui wataipokeaje :D
 
Wapenzi wengi huwa wanapigana huko vyumbani,nikwamba huwa hawasemi tu.So,kumpiga mwanamke sio ishu,ishu ni unampiga kiasi gani.Je unampiga vibao au una haribu kabisa hiyo sura.
 
tutaona kesho kesho ksho tutaonana tena kwa heri mwalimu kwa heri..............
 
Jimmy si kweli kila mwanamke anaepigwa ni mkorofi. wanawake tumeumbwa kuonewa tu na wanaume.Ila ndugu zangu kupiga siyo kufundisha.Bali maelewano mazuri ndiyo yanayofundisha.
 
Sioni sababu ya kumpiga mkeo for any reason kuna namna ya kusetle mambo apart from kupigana ingawa sio kwa wakurya
 
sisi wengine tunaonyesha mapenzi ya dhati kwa wake zetu kwa kuwapiga. Na wao wasipopigwa wanahisi kama huwapendi! We hushangai mbona wakipigwa hawakimbii nyumba? Haha!
 
mi siku mtu akinyanyua mkono kunipiga ngumi ni its over!kisa gani kung'olewa meno na kutiwa mikovu!!!je ingekuwa sisi ndio tunawapiga mngebaki ktk ndoa!kupiga wanawake ni abuse na ukatili na haikubaliki!
 
chukulia umefumaniwa live kitandani na mwanume na mzee akawasalimia tu na kutoka nje awasubiri mmalize starehe zenu abadili viatu miguuni........... baada ya hapo asichukue hatua yoyote akusalimie kama kawaida na aendelee na maisha kama kawaida............... je utaendelea kuishi hapo ukiwa na amani............... au utachukua hatua gani............... nisaidie hapo..............
 
sisi wengine tunaonyesha mapenzi ya dhati kwa wake zetu kwa kuwapiga. Na wao wasipopigwa wanahisi kama huwapendi! We hushangai mbona wakipigwa hawakimbii nyumba? Haha!
Unapompiga mkeo huwa unajisikiaje moyoni mwako?
Kesho yake mnapokuwa labda mmepatana huwa unajisikiaje?
Ukijaribu kujiweka kwenye viatu vyake huwa unajisikiaje?
Hivi akina kaka/baba mnaopiga wake zenu, mmeshawahi kutafakari au kuchunguza ni jinsi gani kitendo hicho huwashushieni nyie heshima?( BTW.... Kama unampiga mkeo ujue chances za yeye kukutenda kwa namna moja au nyingine ni 90% - consider this aspect if u love her and you want her to love and respect you! tafiti zimefanyika)
 
chukulia umefumaniwa live kitandani na mwanume na mzee akawasalimia tu na kutoka nje awasubiri mmalize starehe zenu abadili viatu miguuni........... baada ya hapo asichukue hatua yoyote akusalimie kama kawaida na aendelee na maisha kama kawaida............... je utaendelea kuishi hapo ukiwa na amani............... au utachukua hatua gani............... nisaidie hapo..............
Akili umekula nini leo... kufumaniwa? unamtega eti?
 
Unapompiga mkeo huwa unajisikiaje moyoni mwako?
Kesho yake mnapokuwa labda mmepatana huwa unajisikiaje?
Ukijaribu kujiweka kwenye viatu vyake huwa unajisikiaje?
Hivi akina kaka/baba mnaopiga wake zenu, mmeshawahi kutafakari au kuchunguza ni jinsi gani kitendo hicho huwashushieni nyie heshima?( BTW.... Kama unampiga mkeo ujue chances za yeye kukutenda kwa namna moja au nyingine ni 90% - consider this aspect if u love her and you want her to love and respect you! tafiti zimefanyika)

WOS;

I condemn beating of wives, and i condemn beating of anyone who is adult because it is brutal... even with kids, we dont beat, we slap or can them!!

Any confrontation or abuse be it physical or verbal is hurtful and leads to a rather awkward scenario the morning after... believe me;

  • beating or at least fighting with your patner inashusha sana mapenzi na kuondoa bashasha hasa za mahaba kwani mtu unakua umeona the other side (dark side) ya mwenza, baada ya violence kuna wanawake wanachukua hata mwaka kuweza kupata hamu ya kufanya mapenzi na partner, wanakuwa traumatized na ku-translate hiyo status kwa wanaume
  • abusive words hasa yakiingia kwenye kuzungumzia maumbile na uwezo wa mmoja e.g. hujui mapenzi, kidodoma kidogo, pochi mbaya, unanuka, wapo wenyewe na sio wewe could be even worse that physical... hiii hata sijui isemweje
  • cheating is as hurtful as beating
In short namna yoyote inayoumiza mpenzi physically, au emotionally ni mbaya na huacha madoa

Tatizo ni je, is there any relationship inayoendelea for years bila kupitia haya matatizo?

  • beating? very few (less than 40%) - just a guess
  • emotional tortuure (even fewer) less than 20%
  • Cheating (balanced) say 50%

those are my two cents
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom