Ni kwa nini wanaume hupiga wanawake?

chukulia umefumaniwa live kitandani na mwanume na mzee akawasalimia tu na kutoka nje awasubiri mmalize starehe zenu abadili viatu miguuni........... baada ya hapo asichukue hatua yoyote akusalimie kama kawaida na aendelee na maisha kama kawaida............... je utaendelea kuishi hapo ukiwa na amani............... au utachukua hatua gani............... nisaidie hapo..............

kwanza kabisa siwezi kumsaliti mpenzi wangu!kwa hiyo sitafumwa kitandani na another man!
hata hivyo nijuavyo wanawake wanawafuma mara nyingi waume zao na wengine hadi anazaa nje lkn hawawapi waume zao sanasana atalia atabembelezwa yataisha,au wengine watatimua zao!
sasa kwa nini nyie ndio mjione na haki ya kuwapiga wake zenu?
je ukimpiga na kumsababishia matatizo ya kushindwa kuzaa,,si utamuacha na kutafuta anayezaa!!
kupiga wanawake ni ukatili!period!
 
Akili umekula nini leo... kufumaniwa? unamtega eti?

hahaha.... najaribu kumuonyesha kuwa sometimes kupiga ni tiba, ni dawa na husaidia kusawazisha stress na kurejesha hali ya kawaida.......... kupiga kama unataa kutoa roho ni mbaya hata mwanao sipendi umuadhbu kisi hicho........... lakini makofi ya kimtindo kudhihirisha a strong reaction for a bad action works my dear............ na ukisawazisha ndo utaamini kuwa yameisha.......... kuna kitu kinaitwa "ransom" kinafundishwa sana kwenye theolojia.............. kina mantiki sawa na ninayoongelea.................
 
Mie kwetu mwanamke kupigwa ni ishara ya upendo jamani sina tatizo akinipiga mradi tu asiharibu reception yangu
oooh jamani haya makabira yetu haya mmh mzee kibiongo upo hapo
na asipokupiga?

dini ya kiislam inaruhusu mwanaume kumpiga mke lakini asiache marks... lakni mie sikubali kupigwa jamani... mambo gani ya kupigana...
 
kwanza kabisa siwezi kumsaliti mpenzi wangu!kwa hiyo sitafumwa kitandani na another man!
hata hivyo nijuavyo wanawake wanawafuma mara nyingi waume zao na wengine hadi anazaa nje lkn hawawapi waume zao sanasana atalia atabembelezwa yataisha,au wengine watatimua zao!
sasa kwa nini nyie ndio mjione na haki ya kuwapiga wake zenu?
je ukimpiga na kumsababishia matatizo ya kushindwa kuzaa,,si utamuacha na kutafuta anayezaa!!
kupiga wanawake ni ukatili!period!

hapo kwenye bold unakimbia mjadala........... chukulia imetokea na mzee hakureact kachukulia kama ni jambo a heri,.............. utajisikiaje?...........utaendelea kuishi pale kwa amani...........
 
na asipokupiga?

dini ya kiislam inaruhusu mwanaume kumpiga mke lakini asiache marks... lakni mie sikubali kupigwa jamani... mambo gani ya kupigana...

noname ni romansi hizo mpendwa.......... asipokupiga utajuaje kama anakupenda?, anakujali? anakuonea uchungu?........... kama ni zawadi mbona hata makahaba wanapewa?................. hahah......... dear you need to play ata a lower prefile............
 
hapo kwenye bold unakimbia mjadala........... chukulia imetokea na mzee hakureact kachukulia kama ni jambo a heri,.............. utajisikiaje?...........utaendelea kuishi pale kwa amani...........
akili nimechoka kubishana na wewe,najua unatania tu,gentleman kama wewe huwezi kumpopoa mwanamke!eti romans!hahaaa acha matani broda!
 
Unapompiga mkeo huwa unajisikiaje moyoni mwako?
Kesho yake mnapokuwa labda mmepatana huwa unajisikiaje?
Ukijaribu kujiweka kwenye viatu vyake huwa unajisikiaje?
Hivi akina kaka/baba mnaopiga wake zenu, mmeshawahi kutafakari au kuchunguza ni jinsi gani kitendo hicho huwashushieni nyie heshima?( BTW.... Kama unampiga mkeo ujue chances za yeye kukutenda kwa namna moja au nyingine ni 90% - consider this aspect if u love her and you want her to love and respect you! tafiti zimefanyika)

unajua kupigana msikuchukulie kuwa ni ugomvi kweli? .................kuna uthibitisho wa kiutafiti kuwa mapenzi yanayofanyika baad aya ugomvi huwa yana lasting impact kuliko mapenzi yanayofanyka baada ya shamrashamra zenye vicheko............... pia kuna tafiti zimethibitisha kuwa wanawake wanaopiga waume zao wao ndio hulia na sio wanaume wanaopigwa............. na yote haya hufanywa ili kuweka akili za wote wawili katika balance..........

pia kuna utafiti uanoonyesha kuwa katika jamii zianazosikika kwa kupigana ndani ya ndoa mwanamke akitaka kumuudhi mwaume hamfokei likitokea wamekosana ila humsubiri atakapoanza kumpiga ndipo "anapogoma kulia" ili kumkomoa mwanaume........... na kama mume hajamuudhi mwanmke, basi akimpiga kidogo tu hulia hadi kijiji kizima wansikia............ lakini ukija kuwapatanisha hawafungui hata mlango.............. na wanseal msanaha wao kwa mapenzi mtomoto humo ndani na possibly huwa mpaka asubuhi bila kufumba macho na hutumia pia hiyo fursa kuongea mambo mengi mabalimbali ambayo hawakuwa wamepata muda wa kuyajadili huko nyuma..................... na mwanamke hutoka kesho yake kifua mbele akijivunia mume mwake ............... na kwa kweli wivu hupaa zaidi..........................
 
kupiga sio discipline Jimmy thats called abusing... nikiona mwanaume anadunda mwanamke I lose respect on him... man who hit woman is psycho. kweli wanawake wakorofi lakini sio kupigana bana... there are many ways kumkomesha mwanamke mkorofi.

Piga ngoma sio mwanamke. Unaonesha kwamba you are weak. Dialogue and you will look more sensible, ukishindwa use silence - this is the strongest weapon.
 
noname ni romansi hizo mpendwa.......... asipokupiga utajuaje kama anakupenda?, anakujali? anakuonea uchungu?........... kama ni zawadi mbona hata makahaba wanapewa?................. hahah......... dear you need to play ata a lower prefile............
Akili usinianzie mambo ya romance bana... romance gani yakupigana? mie najua kama ananipenda kwa vitendo vyake... mathalan akinionea wivu or akinipigia simu kazini nakuniambia he missed me... or if we had a fight ( BTW we always have fights) he will make it up with me...
 
Piga ngoma sio mwanamke. Unaonesha kwamba you are weak. Dialogue and you will look more sensible, ukishindwa use silence - this is the strongest weapon.
Theodora Theodara where have u been dear? yes that the word Silence.. umesikia hapo Akili... acha kufananisha maisha na IT bana
 
unajua kupigana msikuchukulie kuwa ni ugomvi kweli? .................kuna uthibitisho wa kiutafiti kuwa mapenzi yanayofanyika baad aya ugomvi huwa yana lasting impact kuliko mapenzi yanayofanyka baada ya shamrashamra zenye vicheko............... Pia kuna tafiti zimethibitisha kuwa wanawake wanaopiga waume zao wao ndio hulia na sio wanaume wanaopigwa............. Na yote haya hufanywa ili kuweka akili za wote wawili katika balance..........

Pia kuna utafiti uanoonyesha kuwa katika jamii zianazosikika kwa kupigana ndani ya ndoa mwanamke akitaka kumuudhi mwaume hamfokei likitokea wamekosana ila humsubiri atakapoanza kumpiga ndipo "anapogoma kulia" ili kumkomoa mwanaume........... Na kama mume hajamuudhi mwanmke, basi akimpiga kidogo tu hulia hadi kijiji kizima wansikia............ Lakini ukija kuwapatanisha hawafungui hata mlango.............. Na wanseal msanaha wao kwa mapenzi mtomoto humo ndani na possibly huwa mpaka asubuhi bila kufumba macho na hutumia pia hiyo fursa kuongea mambo mengi mabalimbali ambayo hawakuwa wamepata muda wa kuyajadili huko nyuma..................... Na mwanamke hutoka kesho yake kifua mbele akijivunia mume mwake ............... Na kwa kweli wivu hupaa zaidi..........................
this is classic lol!
 
Ondoeni utaraibu wa kulipa mahari, vinginevyo mlipaji anakila sababu ya kutumia "bidhaa" yake kadri anavyopenda...including kui-abuse...
 
Mi nahisi sio mwanamme tu kumpiga mwanamke, maana wapo wamawake wanaowasugutua makonde waume zao si mchezo! Yaani mwanamme akimuona tu mkewe basi akili zinapaa. Nahisi suala zima hapa linatokana na ile hali ya nani ni Superior kuliko mwenzake. Inshu kubwa hapa ni ufahau finyu juu ya uwezo, mamlaka ama wajibu wa aliye kiongoziwa familia
---------------------------------
...labda kupiga ama kupigwa ni sehemu ya mapenzi yenye utashi kamili...
 
siku moja niliona kwenye TV mwanamme analalamika mkewe amekuwa akimpiga ...dah
 
Mie kwetu mwanamke kupigwa ni ishara ya upendo jamani sina tatizo akinipiga mradi tu asiharibu reception yangu
oooh jamani haya makabira yetu haya mmh mzee kibiongo upo hapo

Nipo nimejaa tele dada yangu. Basi mumeo kumbe ana punching bag ndani ya nyumba, ila labda yeye hajui tu. Haahaaa hahahaha tetete tetete kwikwi kwi...

Sasa mume akiwa na hasira unafikiri atachagua sehemu ya kupiga hadi akwepe kupiga reception ?? Aisee niambie ni makabila gani hayo ambayo wanawake kufurahia kupigwa ili nikaoe mmoja niwe manalizia hasira zangu kwake. Au wewe uko tayari nilete posa ? Jamani mbona raha !!
 
Theodora Theodara where have u been dear? yes that the word Silence.. umesikia hapo Akili... acha kufananisha maisha na IT bana

My dear, I was on the road for a while, lakini nakuaminia unawakilisha....hope u are keeping well....
 
Nina mwanamke wangu. Ni mke mdogo. Nimezaa nae watoto wawili. Tunashirikiana kwenye biashara na kwa kweli ana juhudi. Tatixo lake ni moja tu. Ana mdomo wa shombo.kila kizuri ninachomfanyia yeye anaona hakitoshi. Na kila mara tumepishana kauli.Nimemuonya sana achunge mdomo wake lakini kila saa anarudia. Tatizo lake kubwa anataka kukaa juu ys mimi. Sasa nataka kujaribu kumpiga. Je itasaidia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom