Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
- Thread starter
- #61
Nikionaga kucha zake za miguu naskia kizungu zungu.
Ipo kitu c bure
Nikionaga kucha zake za miguu naskia kizungu zungu.
Ipo kitu c bure
huo mwanya ndio ugonjwa wangu, ukute anatabasamu, mweeh.
mimi siwezi kusahau vitu viwili.
1. uzuri wake ni wa kipekee.
2. she is so sweety,more than sweety hata sijui nielezeje.
Siwez sahahu anavyokasirika huku anatabasamu
duh hiyo hata wangu anayo ....
Usikute ni huyo huyo mmoja aiseee
Siwez sahahu anavyokasirika huku anatabasamu
Usikute ni huyo huyo mmoja aiseee
Walio pitia seriously zilikuwa majeraha tuu kila kukicha ni kuchitiwa tuu na wanawake wengine. Kwa honestly sina hata cha kukumbuka. Kwangu Mimi I cherish upendo Wa Kweli hata kama ukifanya vingine vizuri lakini unanidanganya, kunilaghai, na kucheat hata sithamini hayo mengine na kuyaweka moyoni. Poleni kama nimewakwaza lakini huu ndio ukweli wangu. Napenda kupenda na kupendwa kwa dhati haijalishi una Mali Hauna Mali ninachojali ni upendo Wa ukweli kutoka moyoni.
so touching nimejikuta nakupenda ghafla
duh hiyo hata wangu anayo ....
hangover hizi..
Inawezekana
dushe lake tu, .....
Hakuna kingine