Ni kitu gani special ambacho hautokisahau kutoka kwa mpenzi wako wa sasa au wa zamani?

-Mkweli sio mnafiki, anakupa makavu live hawez kukaa na kinyongo..
-ikitokea miss understandings, km ww utaendelea kununa shauri yako yy kashasau mnaendelea na mambo mengine
-mtu wa kujishusha mpaka najishtukia somtym
 
1. Her innocence. Hawezi kusema uongo hata kwa kutania

2. Her sense of humor,sometimes unaweza kumkwaza badala akasirike ataishia kukupa ushauri wa jinsi ambavyo ungelifanya jambo bila kumkwaza

Yea
Hapo umepata mkuu
 
Back
Top Bottom