Ni kitu gani special ambacho hautokisahau kutoka kwa mpenzi wako wa sasa au wa zamani?

huo mwanya ndio ugonjwa wangu, ukute anatabasamu, mweeh.

mimi siwezi kusahau vitu viwili.

1. uzuri wake ni wa kipekee.
2. she is so sweety,more than sweety hata sijui nielezeje.

unampenda sana inaelekea
 
Walio pitia seriously zilikuwa majeraha tuu kila kukicha ni kuchitiwa tuu na wanawake wengine. Kwa honestly sina hata cha kukumbuka. Kwangu Mimi I cherish upendo Wa Kweli hata kama ukifanya vingine vizuri lakini unanidanganya, kunilaghai, na kucheat hata sithamini hayo mengine na kuyaweka moyoni. Poleni kama nimewakwaza lakini huu ndio ukweli wangu. Napenda kupenda na kupendwa kwa dhati haijalishi una Mali Hauna Mali ninachojali ni upendo Wa ukweli kutoka moyoni.
 
so touching nimejikuta nakupenda ghafla
 
Uchepukaji wake kwa kila mtu .... asione cketi hadi mdogo wako ye anapitia tuu ...... nakumbuka mnooo
 
Back
Top Bottom