Kama kichwa kinavyo jieleza uku mtaani kuna mtoto nimetokea kumuelewa sana yani ni mwaka sasa kila siku nasema tu ntamfuata kesho.
Kinachofanya nishindwe kumfuata ni kwamba muda mwingi yupo sehemu ya biashara kwahiyo naona kama itakua si vyema kumfuata pale.
Juzi kati wakati napiga story na rafiki yangu nikamuelezea hali halisi kuhusu huyo dada kumbe kesho yake akamfuata bila kuniambia akamueleza yote kuhusu mimi akamuomba na namba yake ya simu.
Yule dada akamjibu kuwa "aje achukue mwenyewe"; yaani mimi ndo nikachukue namba sasa nachowaza hiyo leo nikienda pale nianzaje anzaje kuongea nae maana ile ni sehemu ya biashara (yupo kwenye duka la nguo).
Yaani sijui niingie na gia ipi, inshort mimi ni domo zege wapenzi wangu huwa nawapata kimazabe tu ila huyu kanikamata sana.
Nisaidieni mistari wadau ili nisiaibike, nataka niende