Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

Basi Mimi nadhani nitakua mchanga kwenye mambo ya uchumi, siku zote na amini wanaouza kwa jumla ndio wanapata pesa maana wanapata faida ndogo Lakini mzunguko ni mkubwa.
Wauzaji wa jumla wao wanapata pesa saana maana wao mara nyingi hawana dead stock... yaani anakuuzia wewe pieces 300 lakini unaweza kuishia kuuza pieces 120 tu na zingine zikaharibika na kuwa dead stocks.

Wauzaji wa jumla wengi wana mitaji mikubwa na umakini mkubwa hivyo risk ya kuwa na dead stock wao wanaweza kuicontrol tofauti na Retailers.
 
Sasa Hapo unashaurije mkuu? Niingie Dar-es-salam tuongee idadi ya watu au tufungue maduka mikoani eg singida then tufate mizigo dar?
 
Dar tayari iko oversaturated ukifungua biashara Dar kama Huna mtaji utakuwa wewe ndio mteja wa Wholesaler wale. Muhimu ni kitafuta sehemu kwenye utawala wako na kupiga hela zako huku ukikua napo.

Ndio maana kuna makabila ni wafanyabiashara wazuri ila huwakuti Dar, kuna wasukuma wa kinyantuzu wale jamaa ni business oriented saana na wanakaa maeneo ya kimkakati tu. Huwakuti Dar kwa wingi wanakaa kwenye center zinazokua wanakua nazo, wanaanza simple ukirudi miaka minne toka Dar unawakuta washakunja mkwanja wa kutosha na wamekata soko la eneo husika.

Dar wanakaa wenye mitaji mikubwa, kwa mtaji wa kawaida tafuta location tu. Pata supplier wako wa mzigo. Piga kazi. Huko hata TRA hawasumbuagi saana.

One mfano Katoro ile Center hadi wameikuza wale wanyantuzu na wasukuma wengine.

Kuna jamaa yangu mmoja baada ya kufeli shule aliendaga vijijini mkoa mmoja hivi kipindi hicho ndio simu zinaanza kuingia. Yeye akawa wa mwanzo kuanza kuuza simu kule. Jamaa alichapa pesa akajenga majumba na mabiashara kibao akahama nakuwa muuzaji wa jumla kwa sasa Ana pesa ndefu saana.

Tafuta chaka, katikati ya miji kuko overcrowded na oversaturated. Nje ya miji kwenye center zilizochangamka kuna pesa nzuri tu.
 
Elimu uliyonipa hapa ni kubwa sana, Asante kwa muda wako kaka naona inaendelea kubadilisha mawazo yangu yote.
 
Japo ukipata muda uni DM kaka.
 
Mimi huwa na waza kwa jiji kama Dar kutoboa ina weza kuwa rahisi kwa kiasi chake. Mfano una weza kuwa na mtaji mfano 8M, ukaamua kwenda mikoa ya nyanda za juu kusini una chukua viazi vya chips au ndizi mbichi. Una kodi fuso then una leta mabibo sokoni una uza ukimaliza una rudi tena shamba kufuata.

Mimi naamini hii ina weza kuwa njia bora zaidi ya kukukuza kiuchumi kwasababu jiji kama la Dar lina watu wengi na hao watu lazima wale chakula na wewe una uza chakula na hao watu wasipo kula wata kufa kwahiyo lazima wale.
Achana na haya mawazo...kuna kero kubwa ya dalali...na hasa ikiwa mali kuoza ni rahisi sana kupata hasara.
Hyo biashara dalali anapata pakubwa we unakula kidogo au akutapeli kabisaaa
 
Hap wajinga sana, Kuna mwaka nilipeleka Michele tandale pale sokoni week mbili hawajauza gunia hata moja, nilichokifanya ni kutafuta maduka Mwenyewe nikauza ndani ya siku mbili tu.
 
Back
Top Bottom