Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Ungeonekana una akili sana kama hizi nguvu ungezielekeza kupiga kelele ili Rais Samia Suluhu Hassan CCM yake wafurushwe wafilie mbali huko ili kuiachia nchi ipate kupumua..

Freeman Mbowe hata akijiuzulu leo, bado haitaondoa tatizo la uhaba na kukatikatika umeme, upungufu wa dola, nishati ya mafuta, unafuu wa gharama za maisha nk nk

Kwa hiyo you're fighting the wrong enemy of your life dude!
 
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Vipi kuhusu wanasiasa mafisadi??
 
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.

Hoja yako ni ipi hapa we 🌈?
 
Sasa unataka uwe na watu kama Lissu ambao hawatumii akili katika kufanya mambo? Muulize mtalaka wa Lissu atakufahamisha vema. Mbowe ni mmachame swafi anajua kwenda na upepo. Mwacheajipigie mpunga.
Wachaga wapo swafi siunaona Dkt Shoo alichowafanyie TEC kwenye sekeseke la bandari hadi TEC wakaonekana kama kinyesi? Wachagga wapo kifursa zaidi.
 
Back
Top Bottom