Ni engine gani nzuri kwa Toyota Hilux Double Cabin

Kimeo

Member
May 19, 2009
77
11
Wakuu nataka kununua Toyota Hilux Double Cabin, ila changamoto ni kujua engine gani hazina usumbufu katika gari hiyo.
 
Zote nzuri. Matunzo ndiyo yataifanya iwe nzuri zaidi. Nyumbani ipo moja engine 3l tayari imetembea kilomita 140k ila service ni ya uhakika na kwa wakati ukiitazama na kuona utendaji wake wa kazi ni mzuri sana
 
Back
Top Bottom