Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Mpira ni biashara ewe mshamba mwenzangu
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Walishatuhusiwa na FIFA kusajili? Najua wapo kwenye zuio hadi watakapolipa hela ya watu wanayodaiwa
 
Ndio maana nakwambia huna akili mshahara una husiana nini na ni market value? Sokoni sasa hivi Ronaldo ana 15M£ lakini mshahara hakuna anae mfikia kaulize mshahara wa Edin Hazard na market value yake pale Real Madrid, hivi kati ya Chama yule wa kipindi kile anaenda Morocco na huyu wa sasa yupi mwenye thamani?
Unaelewa hata determination of market value of player huwa inakadiriwa kwa standards zipi?

Criteria zipo nyingi ila zile kuu kabisa

Vipaumbele vya kwanza ni skills na uwezo ndani ya dimba hii inahusisha speed, nguvu, technique, na performance yote kwa ujumla.

Jinsi mchezaji anavyokuwa bora kwenye nafasi yake katika kuisadia timu ndivyo thamani yake kwenye soko inavyozidi kuwa juu.

Factor ya mwisho ndio umri.

Ambayo hiyo haitoi thamani ya soko tu pasipo kutimiza hivyo vya juu nilivyo kutajia, mchezaji mwenye umri mdogo akiwa na performance nzuri katika nyanja zote hapo juu ndio anakuwa kwenye nafasi ya juu kumpiku mchezaji mwenye umri mkubwa kwenye market value kwa kigezo kimoja.

1. Mchezaji mdogo anakuwa na muda mrefu wa kuendelea ku improve

Factor nyingine inayo determine thamani ya mchezaji ni Mkataba.

Jinsi mchezaji anaposainishwa mkataba mrefu kwa hela nyingi ndivyo inavyoonesha kuwa thamani yake ni kubwa kuliko wengine ambao wana mikataba mifupi.

Pia thamani ya mchezaji inaweza kuwa determined kulingana na ligi anayocheza au utaifa anaotokea.
 
Sasa kwenye speed, nguvu, techniques na skills Chama ana vingapi? leo hii Simba wanaweza kumpa Chama mkataba wa miaka 3? kwa huo umri wa Ku forge ? Hakuna timu inaweza toa hata 500M za kibongo kwa Chama wa sasa. Tatizo lako hua ni moja tu hata kama unajua upo wrong unakaza shingo.
Factor ya urefu wa mkataba bado inakukataa
 
Value ya Chama hio hapo wewe hio 2.3B umeitoa wapi
IMG_20230714_111006.jpg
 
Sasa kwenye speed, nguvu, techniques na skills Chama ana vingapi? leo hii Simba wanaweza kumpa Chama mkataba wa miaka 3? kwa huo umri wa Ku forge ? Hakuna timu inaweza toa hata 500M za kibongo kwa Chama wa sasa. Tatizo lako hua ni moja tu hata kama unajua upo wrong unakaza shingo.
Factor ya urefu wa mkataba bado inakukataa
Awali Chama alikuwa ana vyote kasoro speed but now ame upgrade speed, now he has fully package.

Wanaweza wasimpe mkataba wa muda huo kwa kigezo kingine tofauti na mafikirio yako.

Mbona Ronaldo kasaini Mkataba wa miaka 3 huko Saudi na umri wake ni mkubwa kuliko Chama.

Hakuna timu inayoweza kutoa 500M? Huu sasa ni uongo wa hali ya juu.

Mayele (29) anatetesi za kuondoka Yanga kwenda Pyramids kwa dau la kulipwa zaidi ya 60M

Huyo Mayele na Chama ukiwaangalia wote ni same peer ila mmoja alidanganya zaidi.

Sasa kama Mayele anaweza kuuzwa kwa bei hiyo licha ya fake age aliyonayo, nini kinazuia kwa Chama kuuzwa beyond 500M?
 
Hao Pyramid hawajamuona Chama? nini kilimshinda Morocco,?
 
Ngoja nikuulize swali

Azizi Ki ambaye ndio mchezaji wenu wa ghaykunwa alisajiliwa kwa bei gani?
Anacheza Real Madrid? me ni shabiki wa RMA buy the way value ya Aziz Ki ni hio hapo chini, nmemwambia niletee hio ya Chama unayo sema una ruka ruka kama chura
IMG_20230714_113029.jpg
 
Anacheza Real Madrid? me ni shabiki wa RMA buy the way value ya Aziz Ki ni hio hapo chini, nmemwambia niletee hio ya Chama unayo sema una ruka ruka kama churaView attachment 2687579
Usijifiche kwenye kivuli cha RMA wakati tunajua wewe ni Gongowazi

Mbona una discuss maswala ya Chama na kukataa hawezi kulipwa 500M wakati wewe ni shabiki wa Madrid?

Nitajie gharama zilizotumika kumnunua Azizi Ki
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Ahh.. Mpira sahivi Ni biashara Zaidi ndio maana Feisal amechukuliwa na Azam.. punguzeni kuwa mashabiki lialia..

Kazeni tako kama Sisi tulivyofanya Kwa Mayele
 
Usijifiche kwenye kivuli cha RMA wakati tunajua wewe ni Gongowazi

Mbona una discuss maswala ya Chama na kukataa hawezi kulipwa 500M wakati wewe ni shabiki wa Madrid?

Nitajie gharama zilizotumika kumnunua Azizi Ki
basi inawezekana unanijua kuliko nnavyo jijua mimi
 
Una maswali ya kitoto hujui mahitaji yanatofautiana?
Hivi unaweza spend 2.3B kununua Chama? mbona una expose ujinga wako! mchezaji ana miaka 32 mkataba wake na umri vyote vipo mwishoni . Ushabiki unawafanya mnakosa akili kabisa
 
Usiwe punguani namna hiyo nimekuuliza kati ya Mzinze ambaye ni under 20 na Chama mwenye above 31 ni yupi ambaye ana soko na kwa fact ipi?
 
Kama Chama bado ana mkataba na Yanga wamemfuata direct huo ni Uzuzu. Ni Uzuzu Kwa sababu kanuni haziruhusu na ni uchokozi usio na faida lakini Una gharama ya kulipa kwao.
Wakati wa suala la Feisal na Azam nilisema na narudia kusema uhuni wa Aina Ile unatakiwa kukemewa.
Sijaona Uzuzu wowote, suala ni chama je karidhia km karidhia aende akawaambie simba kuwa kuna offer kapewa na karidhia, Yanga watakuja mezani watakaa kuzungumza na simba.

Pia km ktk mkataba wake kuna kifungu cha kuvunja mkataba na kanuni zake zipo ndani ya kifungu hicho, atimize matakwa ya kanuni hizo aende zake huko anakotakaaa.

Mchezaji yuko huru kucheza popote, ile ni ajira yake anatafuta penye maslahi, yule ni mchezaji sio shabiki wala mwanachama wa team.

Km anataka na ameridhia kuondoka, aachiwe aondokee, mlango uwe wazi apite bila kukwamaa.
 
Back
Top Bottom