emma-chriss
Senior Member
- Mar 16, 2011
- 100
- 16
Wiki mbili zilizopita nilimuona sista mmoja kamzidi huyo kidogo na bwanake naye bonge hivyo nikafikiria hawa lazima walale kwenye godoro chini hamna kitanda cha kuhimili mikiki yao.Dah! Huo mzigo balaa!