Ni bebe x2

emma-chriss

Senior Member
Mar 16, 2011
100
16
attachment.php
 
Dah! Huo mzigo balaa!
Wiki mbili zilizopita nilimuona sista mmoja kamzidi huyo kidogo na bwanake naye bonge hivyo nikafikiria hawa lazima walale kwenye godoro chini hamna kitanda cha kuhimili mikiki yao.
 
Mizigo kama hii si yakwenda nayo guest house unaweza pata kesi ya kuvunja kitanda!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom