NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,288
- 12,789
NALIA NGWENA The left foot magician (Aziz k) huwa nakutana na maswali ninapokua na Bebe (totozi) haswa pale ninapotumia styles zangu kuntu nilizojifunza kutoka kwenye sehemu mbali mbali na jamii forum ikiwemo haswa hili jukwaa la mapenzi.
Utasikia hii umejifunzia wapi??
Wewe unaonekana muhuni sana hata Sina Imani na wewe!!
Wakati huwa natumia silaha zangu ili kumfurahisha lakini bado naonekana muhuni hivi ni kwa Nini??
Tena Kuna wengine huthubutu kabisa kusema siwezi kudate na mwanaume anayejua mitindo yote.