hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,523
- 6,415
Hakuna kituanaweza yule bibi zaidi ya kuzunguka angani na ndege tu 🤒😎
Kumbuka Yule ni Rais wa inchi
Hakuna kituanaweza yule bibi zaidi ya kuzunguka angani na ndege tu 🤒😎
Acha kutupanga, mifuko imepigwa sana enzi za JK na kibaraka wake Ramadhan Dau wa NSSF!Kubalini ukweli. Kikokotoo ni kazi ya mikono ya Mwendazake. Mliishindwa kupambana naye leo mnataka kumwangushia Samia jumba bovu.
Magufuli ndiye alikopa kupindukia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii mpaka ikafilisika.
Njia ya kuficha aibu ya kufilisika kwa mifuko hiyo akaamua kuiunganisha na kuleta mambo ya kikokotoo ili kuifanya mifuko hiyo iweze kujihimili.
Mnaposema Magufuli alifanya "mambo makubwa" mjue hayo mambo makubwa ndiyo yaliyoleta kikokotoo.
MSILALAMIKE!!
Siyo kale kajamaa kenye Kibyongo na yule anayeandika mipasho kule Instagram (Warsam)!Aliyemshauri Samia kufanya hivi hamtakii mema. Ni dhahiri uwezo wake wa kuhimiri magumu ni mdogo, hatoshi.
Ndani ya ccm, na serikalini wajinga, mapepe, machawa, sycophants, ass kissers ndio wanafanya maamuzi, ccm na serikali haina majibu,ya kukuza uchumi wa nchi, nchi iwe na mapato ya kutosha na kuacha ujambazi wa kuiba pesa za, wananchi kwa Kodi, tozo,kuiba pesa za nhif, na kuweka vikokotoo ili kuhakikisha fedha wananchi wanayohifadhi kwenye hifadhi ya jamii, asilimia 80! Inabaki serikalini ili wasndelee kuitumbua! Labda uishi miaka 150!Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa njia ya WIZI, watu wanechoka na maisha haya siyo wafanyakazi siyo wananchi WA kawaida wanaona mambo mengi hayaendi hasa utolewaji WA huduma katika taasisi za serikali kwa ujumla.
Mama awe makini na washauri wake akiacha Kila kitu ndiyo mzee ajue anaenda kujimaliza mwenyewe kwenye uchaguzi mkuu !
Kikokotoo ajue NI shida kubwa kwa wafanyakazi Hilo neno lake kuwa tunaenda kulitazama linaendelea kuligharimu taifa hadi Sasa maana hakuna kinachofanyiwa kazi wengi tumeona taarifa ya CAG wengi wabadunda na mamilion yamepigwa.
Historia huwa HAIREKEBISHWI.Acha kutupanga,mifuko imepigwa sana enzi za JK na kibaraka wake Ramadhan Dau wa NSSF!
waambie ukweli haoKubalini ukweli. Kikokotoo ni kazi ya mikono ya Mwendazake. Mliishindwa kupambana naye leo mnataka kumwangushia Samia jumba bovu.
Magufuli ndiye alikopa kupindukia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii mpaka ikafilisika.
Njia ya kuficha aibu ya kufilisika kwa mifuko hiyo akaamua kuiunganisha na kuleta mambo ya kikokotoo ili kuifanya mifuko hiyo iweze kujihimili.
Mnaposema Magufuli alifanya "mambo makubwa" mjue hayo mambo makubwa ndiyo yaliyoleta kikokotoo.
MSILALAMIKE!!
Naye pia atakokotolewa na wafanyakazi kwa kupitia kikokotoo chao kwakeUzuri kajianika tumemjua alivyo, naye tutamkimbia October 25
Hoja yangu ni rahisi sana. Ili ukiondoe kikokotoo ni Lazima mifuko ya hifadhi ya jamii (PSSSF na NSSF) iwe na fedha za kutosha Ili kufanya malipo kwa wastaafu kwa mkupuo kama ilivyokuwa hapo zamani.Haya tukubaliane kuwa kikokotoo kililetwa na Hayati Magufuli akisaidiwa na Samia kama mshauri wake wa karibu. Je, kukiondoa amezuia marehemu?
Hehe kama mlivyorithi vingine na hivyo pia pambaneni navyo.........akipenda chongo huita kengezaKubalini ukweli. Kikokotoo ni kazi ya mikono ya Mwendazake. Mliishindwa kupambana naye leo mnataka kumwangushia Samia jumba bovu.
Magufuli ndiye alikopa kupindukia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii mpaka ikafilisika.
Njia ya kuficha aibu ya kufilisika kwa mifuko hiyo akaamua kuiunganisha na kuleta mambo ya kikokotoo ili kuifanya mifuko hiyo iweze kujihimili.
Mnaposema Magufuli alifanya "mambo makubwa" mjue hayo mambo makubwa ndiyo yaliyoleta kikokotoo.
MSILALAMIKE!!
😂😂😂Hehe kama mlivyorithi vingine na hivyo pia pambaneni navyo.........akipenda chongo huita kengeza
Wafanyakazi wengi ni CCM. Yaani wanaipenda sana CCM kuliko wanavyochukia umaskini waliosababishiwa na CCM.Naye pia atakokotolewa na wafanyakazi kwa kupitia kikokotoo chao kwake
😂😂😂😂
Wafanyakazi ni TAWI la CCM 😄Wafanyakazi wengi ni CCM. Yaani wanaipenda sana CCM kuliko wanavyochukia umaskini waliosababishiwa na CCM.
Ikifika mwakani utaona jinsi waalimu na watumishi wa Halmashauri za miji(ndiyo kundi kubwa la waajiriwa Wa serikali) watakavyopambana kuhakikisha kuwa CCM inabaki madarakani hata kwa njia haramu.
Na kama shirika ni la "mabeberu" basi ndiyo balaa. Mshahara tu wa mhudumu wa ofisi ni sawa na mshahara kwa baadhi ya maofisa wa serikali.Tatizo hakuwahi kuwa mtumishi wa umma au vitaasisi vya bongo bali mashirika ya wafadhili.wafadhili wana mishahara sana,poshobzao kwetu mshahara
Wapi mkuu, kakimbia "KINYAGO" alicho kichonga mwenyewe!!!Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa njia ya WIZI, watu wanechoka na maisha haya siyo wafanyakazi siyo wananchi WA kawaida wanaona mambo mengi hayaendi hasa utolewaji WA huduma katika taasisi za serikali kwa ujumla.