Wewe huutaki ukweli. Endelea hivyo hivyo ili kuiridhisha ego yako. Samia si mwanzilishi wa kikokotoo bali mwendazake. Tena Samia kakitoa kutoka asilimia 25 za mwendazake mpaka 33. Na kwa empathy aliyonayo ataendelea kukiboresha na ndio maana vice president alilitolea kauli.Acha kutupanga,mifuko imepigwa sana enzi za JK na kibaraka wake Ramadhan Dau wa NSSF!