Mkuu tutoe hspaNhif Walikuwa wanalipa pesa gani??
Umewahi kudai claim kwa NHIF
Malipo ya naweza kuchelewa lakini ni billions of money. Trust meNhif Walikuwa wanalipa pesa gani??
Umewahi kudai claim kwa NHIF
Mkuu tutoe hspaNhif Walikuwa wanalipa pesa gani??
Umewahi kudai claim kwa NHIF
Malipo ya naweza kuchelewa lakini ni billions of money. Trust meNhif Walikuwa wanalipa pesa gani??
Umewahi kudai claim kwa NHIF
Serikali wameshindwa kuoperate tu hivi vitakataka vyao vichache wanavyoita hospitali ,akili ya kuoperate institutions kubwa waitolee wapi ?NHIF si wafungue hospitali zao, kulikoni kuchoshana huku?
Yani na Dogo leo kaamka anaumwa kumpeleka Bochi hawaitaki NHIF asee..Hii Bima kweli taka taka
Sio kweli . SOUTH AFRICA TU AMNA .AGAKHAN itakufa TANZANIA pekee!! hii hospitali ipo karibu kila nchi duniani,
Una uhakika hizo subsidies wanapata kwa wakati ?Those hospitals wanapata government subsides awawezi . Ni full private tu
Mwisho wa siku kinachoamua gharama ni gharama ya uendeshaji wa hizo hospitali na vifaa tiba , kama hizo subsidies haziendani na gharama za uendeshaji ni suala la muda tu ,watatema bungoThose hospitals wanapata government subsides awawezi . Ni full private tu
Umeambiwa na nani Agha Khan wanategemea bima?DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.
They actually create a fear vacuum . If you act we act .
KENYA,UGANDA,RWANDA,NIGERIA,ETHIOPIA,DJUBOUT,ANGOLA,EGYPT,LIBYA,MOROCCO,TUNISIA ,ALGERIA,,,da ni rodha ndefu sana,mpaka ulaya canada na america!!! na huduma zao wanarate kwa dola ndo manake wana bei kubwa!!! sio kwamba nawaqtetea,no naongea fact!!Sio kweli . SOUTH AFRICA TU AMNA .
Hakuna AGHA KHAN hospital in UK,AGAKHAN itakufa TANZANIA pekee!! hii hospitali ipo karibu kila nchi duniani,
Ustawi wa watu wakati hawapati malipo toka kwa NHIF kwa wakati ?Mimi siyo kapuku ningekuwa kapuku nisingekuwa hapa ,ina maana ningekosa hata pesa ya bando .
Naongelea watanzania wanyonge ambao wananyanyasika na watu ambao ni profit oriented kiasi kwamba hawaangalii hata ustawi wa watu.
Hakuna AGHA KHAN hospital in UK,
France, Germany, USA etc sana sana utazikuta Tanzania, Kenya, India, Pakistan, Bangladesh na
nadhani wewe ni msahbiki wa mpira,manake unabisha bila evidence!! kwaherHakuna AGHA KHAN hospital in UK,
France, Germany, USA etc sana sana utazikuta Tanzania, Kenya, India, Pakistan, Bangladesh na nchi kama hizo.
Ndio maana nikaandika humu ,watu wasidhani huu mgomo ni wa Aghakan tu na hao wengine ,hii ni kwa hospitali na vituo vya afya binafsi vyoteYani na Dogo leo kaamka anaumwa kumpeleka Bochi hawaitaki NHIF asee..Hii Bima kweli taka taka
Sasa unalinganisha South Africa nchi ya kwanza duniani kufanya heart transplant mwaka 1967 dhidi ya Tanzania nchi ambayo maprofesa wake wa afya walitengeneza kachumbari ya Bupiji kama dawa ya COVID-19 mwaka 2020?SOUTH AFRICA TU HAPO AGA KHAN AMNA .wewe ndo una overate vitu , health sectors kuna major players kibao .
Chief unajua foleni iliyopo kwenye hospitali za serikali?Wao waendelee kuhudumia hao wenye pesa na sisi tutaendelea kupatiwa huduma kwenye hospital za government ambazo tumezaliwa huko na zimetukuza mpaka sasa.
Hata Magu aliwahi kuwasemea mbovu juu ya gharama zao kuwa juu sana, wakati wana misamaha ya kodi.Non profit . It’s a cash cow . 🐮 . With billions
Kinachokuponza unadhani unajua Sana ni haka Ka kiingereza Ka kindergarten. Mnabishana Kwa kitu ambacho wao ndio wanaelewa wanavyosurvive Kwenye soko Lao. Jobless mnatia huruma.Wait and see . Wait and see . Very different economic generations
. No one is paying 100k-200k per treatment . Every month for the rest of the life . In this economy . Also the lack of funds forced them to accept the insurance
mwambie man!!Kinachokuponza unadhani unajua Sana ni haka Ka kiingereza Ka kindergarten. Mnabishana Kwa kitu ambacho wao ndio wanaelewa wanavyosurvive Kwenye soko Lao. Jobless mnatia huruma.
Bora mkuu useme ukweliAgha Khan haifi
Wala hizi hospitali hazifi
Na hapo hawajaonesha hospitali zingine msururu ndogo ndogo,wana umoja wao hawa...watatoka na kauli moja regardless
Serikali haiwezi kushindana na hawa
Serikali inakusanya hela kutoka kwa wananchi kwa ahadi ya kutoa matibabu,serikali inakula hizo hela
Haya mahospitali hayalipwi,therefore cut the fvcken ties with this stupid govtment!