NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

Una uchawa wewe, Agha Khan imekuwepo kabla ya mfuko kuanzishwa na hata baada ya kuanzishwa wameingia mkataba mwaka 2022, miaka yote hiyo kwa nini haikufa?
Wait and see . Wait and see . Very different economic generations
. No one is paying 100k-200k per treatment . Every month for the rest of the life . In this economy . Also the lack of funds forced them to accept the insurance
 
You think . The losses will come . Strategies reported loses last year they will follow suits and raise the money for insurance . Also cut the cost . For profit
I think watakaachini wa settle for the benefit of both parties but not enforce the changes on one side
 
Nina wasi wasi na hii barua...Imeelekzwa TMJ...lakini Mkataba unavunjwa na Aga Khan:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Barua ilo sawa its called intimidation Mkuu..
Yaani namwambia Athumani kwamba Juma nimekwisha mpiga kwa kosa mlilofanya jana wote wawili alafu namtaka athumani.aombe msamaha kabla sijampiga..
Sijui umenielewa..
Its called intimidation to create Division..
Its called Divide and rule
 
Serikali ya CCM inachezea afya za watanzania, hela ya kununulia mashangingi ipo ila ya afya haipo siyo.
Haya huyo makonda ajitokeze sasa atoe siku tatu kwa Waziri wa Afya tuone kama yeye ni Kidume kweli.
 
Aghakani hawategemei Bima mzee
Wanategemea mkuu, angalia wateja wengi wanaotibiwa pale ni watu wa NHIF na matawi yao ambayo yapo kila sehemu hapa dar.
Serekali huwa haishindwi. Hao wahindi kamasi zitawatoka. Si ajabu wanamkimbilia Ummi saa hii! huku wakipiga magoti na kujamber jambe

Una uchawa wewe, Agha Khan imekuwepo kabla ya mfuko kuanzishwa na hata baada ya kuanzishwa wameingia mkataba mwaka 2022, miaka yote hiyo kwa nini haikufa?
Kwani miaka yote hiyo watanzania walikuwa wanaotibiwa wapi ?
 
Kwamba barua ya serikal nayo n uongo? Huon ina maelezo waliingia lini mkataba? Wazazi wako bora wangepiga nyeto tu
Mkataba huwa unakuwa reniewed kila baada ya miaka mitano Mkuu walichokitaja ni Mkataba wa hivi karibuni..
Kwa mfano Kuna wabunge ambao wana miaka zaidi ya 20 Bungeni ila tukiwataja tutasema wameingia Bungeni miaka mitano iliyopita kulingana na uchaguzi ulipofanyika..
Sijui kama umenielewa
 
Peleka huko vizungu vyako feki, Agha Khan ni giant organization haitishi na vihio wasio na ufahamu wa hospital management!
SOUTH AFRICA TU HAPO AGA KHAN AMNA .wewe ndo una overate vitu , health sectors kuna major players kibao .
 
Barua ilo sawa its called intimidation Mkuu..
Yaani namwambia Athumani kwamba Juma nimekwisha mpiga kwa kosa mlilofanya jana wote wawili alafu namtaka athumani.aombe msamaha kabla sijampiga..
Sijui umenielewa..
Its called intimidation to create Division..
Its called Divide and rule
....asante kwa kunielewesha....
 
DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum . If you act we act .
Acha ujinga , tatizo ni serikali kushindwa kulipa pesa kwa wakati na hao wapuuzi wenu NHIF na serikali ,wakati wapuuzi kama wewe mnatibiwa
Hizo hospitali ni mali ya baba yenu ?
Mfuko umefirisika kwa kuendeshwa na majitu akili za mavi
NHIF wameshindwa hata kulipa wasambazaji wa vifaa tiba , ni upuuzi kufanya mambo kisiasa ,ccm ni mbwa kabisa
Halafu mpumbavu kama wewe unachekelea bila kujua consequences za hilo suala kwamba lina effects gani hata kwako
Unajua hii nchi watu wengi hawana tofauti na wendawazimu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanaotumia NHIF ndio watakaoumia.....Hii bima ni takataka kitambo sana...
Isitoshe Agakhan walikuwa hawaitaki...Pole sana wanachama...
Hata kairuki ,Bugando ,KCMC nk , hospitali zote za binafsi ndio tegemeo nchi hii , na wako mbioni kusitishwa kabisa hii huduma
Ndio kilio na kusaga meno vitafuata na majitu nchi hii akili zitaingia vizuri
Mbinyo bado haujakolea , Kenge huwa atoke damu masikioni

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga , tatizo ni serikali kushindwa kulipa pesa kwa wakati na hao wapuuzi wenu NHIF na serikali ,wakati wapuuzi kama wewe mnatibiwa
Hizo hospitali ni mali ya baba yenu ?
Mfuko umefirisika kwa kuendeshwa na majitu akili za mavi
NHIF wameshindwa hata kulipa wasambazaji wa vifaa tiba , ni upuuzi kufanya mambo kisiasa ,ccm ni mbwa kabisa
Halafu mpumbavu kama wewe unachekelea bila kujua consequences za hilo suala kwamba lina effects gani hata kwako
Unajua hii nchi watu wengi hawana tofauti na wendawazimu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Aisee! Umebwatuka!
 
Cause of insurance fraud nyingi . Also corruption and miss use of fund in the institution . They had to cut the cost .
 
Back
Top Bottom