Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,984
- 95,503
Hawa sichezi nao kabisaDouta cheza mbali na hawa viumbe
Hawa sichezi nao kabisaDouta cheza mbali na hawa viumbe
Ofisi yetu pia inatoa ulinzi kwa wake za watu ambao waume zao wako bize na kazi..Mlete tu shem mkuuMimi pia naogopa kuja naye asije siku nyingine akaja kununua peke yake.
Maana wengine kazi zetu ni za kusafiri safiri, unaweza kuta siku anataka kununua mimi nimesafiri halafu ikawa shida.
Hawa sichezi nao kabisa
Hahaha me nimeamua kutokucheza na nyie kabisaFata maelekezo ya Daddy, kasema cheza mbali mbali na siyo kutocheza kabisa!
Ofisi yetu pia inatoa ulinzi kwa wake za watu ambao waume zao wako bize na kazi..Mlete tu shem mkuu
Hahaha me nimeamua kutokucheza na nyie kabisa
Teh teh..Uchawi hautudhuru ss..Sisi tunakula hadi kuku wa dawa
Haya bana..Mimi hapo nimetoa tahadhari tusije kulaumiana.
miss chagga unataka upigiweeee amaSasa mkuu
Si kila king'aacho ni dhahabu, kuna magonjwa mengi sana ya ngozi, nimeona kwa macho yangu watu wakiugua magonjwa haya hatarishi. Tafadhali chukua tahadhari kila ununuapo "kifuniko cha asali" kwa wewe Dada yangu mpenzi, hakikisha unakifua na kukiloweka kwa muda kisha kinyooshe kwa pasi na moto mzuri tu, ndipo kafunikie asali yako!
Usipofanya hivyo wote hatubaki salama, sio mwenye asali wala mlinaji wa asali, chukua tahadhari
aaaghh wameharibu utamu wa kale ka-uzi aiseeekuna mods kazi yao kuunganisha nyuzi za watu tu
aaaghh wameharibu utamu wa kale ka-uzi aiseee
mimi hapahivi bado kuna watu wanavaa vyupi vya mtumba?
Ulituma weekend hiyo imekula kwakorubii, cute b na miss chagga wamenithibitishia, halafu nilikutumia hela kwa Halo Pesa kulipa lile deni la miss chagga sijui kama uliipata.
Nipigie tu nitapokeamiss chagga unataka upigiweeee ama
Ulituma weekend hiyo imekula kwako
Harudigi nyumbani anakaa na wapenzi wake tu aiseeHa! Weekend ina tatizo gani kwani.
Isije ikawa imepotea juu kwa juu.
Ndiyo mana yake mdaiHa! Kwa hiyo hela itakuwa haikuingia kwenye biashara? Au ndo maana hanijibu kama aliipata au la!
Kaboom nilituma pesa uliipata?