Nguo za ndani za mitumba: Mkombozi wa maskini, msambaza magonjwa!

Mimi pia naogopa kuja naye asije siku nyingine akaja kununua peke yake.

Maana wengine kazi zetu ni za kusafiri safiri, unaweza kuta siku anataka kununua mimi nimesafiri halafu ikawa shida.
Ofisi yetu pia inatoa ulinzi kwa wake za watu ambao waume zao wako bize na kazi..Mlete tu shem mkuu
 
Ofisi yetu pia inatoa ulinzi kwa wake za watu ambao waume zao wako bize na kazi..Mlete tu shem mkuu

Hapana mkuu, ulinzi niliouweka unatosha.

Tego lake hata mshana jr hategui, kwa hiyo ikitokea akaja dukani kwako muone kama adui, ikibidi hata kumuuzia kataa.
 
Si kila king'aacho ni dhahabu, kuna magonjwa mengi sana ya ngozi, nimeona kwa macho yangu watu wakiugua magonjwa haya hatarishi. Tafadhali chukua tahadhari kila ununuapo "kifuniko cha asali" kwa wewe Dada yangu mpenzi, hakikisha unakifua na kukiloweka kwa muda kisha kinyooshe kwa pasi na moto mzuri tu, ndipo kafunikie asali yako!

Usipofanya hivyo wote hatubaki salama, sio mwenye asali wala mlinaji wa asali, chukua tahadhari

kuna mods kazi yao kuunganisha nyuzi za watu tu
 
Back
Top Bottom