Huyu lazima nimdake
Nimeshakamata mguu duh kanona kweli
Hana ujanja huyu wangu tu,
Nimeshakamata mgongo nikimwangusha mlo wa leo umekamilika
Duh anataka kuniponyoka
Bado ninaye leo hutoki
Nikifanya ajizi nitakula majani leo
Mbona mateke au hutaki kuliwa.
Ashanitoka !
Eat grass, don't piss!
Duh ana nguvu huyu atakuwa kanywa kikombe cha Babu
By Thomas Whetten, Ngorongoro Conservation Area
unamshabikia yupi kati ya hawa mimi simba wewe je?
Huyu simba atakuwa anajifunza kuwinda!!! Simba yeyote mzoefu hawezi kumwinda pundamilia kinyumenyume...lazima atakwidwa teke... Tazama picha za wanyama simba yeyote mzoefu akimfukuza pundamilia pale anapomkaribia tu anaanza kumwendea kiubavu-ubavu ili amdake shingoni.
Simba huyu sharobaro sana. LOL
mi yanga.