Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Twende moja kwa moja kwa mada yetu hapo juu, sasa hivi ukipita mitandaoni ni habari tu za kungonoka. Watu wanapenda habari za ngono kuliko zingine, ukiona mijadala ya kawaida na ngono wachangiaji ni wengi.

Sasa hivi ni rahisi watu kutafuta mtu wa kufanya nae ngono maana ipo mitandao inayowaunganisha. Miziki ya sasa hivi inaimba ngono ngono tu, na watu ndio wanaitafuta hiyo.

Miziki inayopata soko ni ya ngono ngono, sasa watu wanapenda. Ukija kwenye madawa ya kuongeza hamu ya kufanya ngono zinauzwa kwa kasi.

Vijana ndio vinara wa kungonoka huko na mara Joy kesho Asha, wanabadilisha mabinti kila aina, ukija kwa wadada nao wanauza huko kwa kubadilisha wanaume.

Wamama watu wazima nao wanawaza ngono aisee! Wanatafuta vijana wanawawezesha pesa wanapata ngono. Njoo kwa wababa nao hawapo nyuma, nao wanatafuta vibinti wanavihonga iPhone wanapewa ngono kwa ulaini.

Haya sasa mashoga nao hawapo nyuma nao wanabamba sasa hivi huko kwa kutafuta ngono yao ya nyuma. Njoo kwa wasagaji nao wanatafuta mashine zao ili wasage na kukoboa.

Hizi ni ngono za siri, mara nyingi ni siri mpaka kinuke ndio zinajulikana. Moja wapo ni wale wa makanisani huko wanajificha nao wanatafuta ngono kisiri. Wanaenda mahotelini huko kikinuka wanajulikana walikuwa wanatafuta ngono.

Achana na hao, kuna hao ambao ni wazazi wamezaa na watoto wao ila wanawala wenyewe, jamani Dunia!

Njoo huko Misikitini napo walimu wanawala watoto wanaowafindisha madrasa kimyakimya.

Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa.
 
Sasa sisi tutakuaminije bila ushahidi!!?
 
Kazingua sana
 
Hapa sasa kidogo tunaenda sambamba, kiukweli maadili wameshuka sana naskia huko watu wapo wengi mnoo wanaofanya biashara ya ngono!!?
 
Bado sio rahisi hivo kama ulivo zungumzia hapa 😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom