Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,514
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari...
Ikumbukwe kuwa ili mtu aweze kufurahia ngono ni lazima awe ametulia akili...
Kama unamsongo wa mawazo huwezi kuwaza ngono isipokuwa ukikosa Cha kufanya na kuwa tu umerelax...
Katika pitapita zangu za huku na kule nikakuta mijadala mbali mbali..
Wengine wakijisemea wenyewe yaani nimekaa hapa geto tayari nishapiga kimoja yaani kashapiga punyeto..
Wengine wakiwa peke yao wanatafuta yale maplastic ya dudu wanajipachika...
Kama sio hawa majobless basi ni wale ambao walishatafuta wakazipata...
Huwaza ngono na wanayafanya maana wanakuwa wanajifariji..
Siunajua tena hakuna la kufanya basi vile viungo vingine vinataka kazi...
Wengine wao huishia kusaka vijana, na kujifurahisha kwa ngono..
Vibabu navyo vikishastaafu tu vikakosa vya kufanya vinasaka vibinti...
Wale wakuu wa nchi nao kwakuwa hawana kazi hutoa matamko nao hutafuta wa kujipooza...Mimi sijatajanmtu
Sasa kuna wale wakina baba Fulani wakiwa hawana kazi yaani likizo madada wa kazi nao wanakipatapata...