Van pierre
Member
- Mar 27, 2011
- 25
- 0
Thanks kwa kupata nafasi kama hii!jamani tanzania kama sweden inawekana!ili mradi tuamue kubadilike kuanzia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla!!si huu upuuzi wa sasa hivi!watu wanatumia maofisi kama sehemu za kuchat facebook,sms na umbeya wa manchesta na arsenal,and tamthiliya za kina kanumba!halafu hao hao ndo wa kwanza kumkemea ufisadi!jikemee kwanza mwenyewe na tabia zako za kibia bia,watu wanaabudu bar kuliko kazi!!!!NIkaribisheni wapendwa!