Rumishaeli
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 227
- 72
Jamani hii nchi ielewe kwamba rushwa si lazima ufanye ufisadi kama Jairo.
Ngeleja akishirikiana na TBC wanatangaza mambo yao ambayo hayana tija kwa sasa huku akijua kwamba hotuba yake ya bajeti haijapita hii ni janja ya nyani ninachoweza kusema hatudanganyikiiiiiiiiiiiii! Halafu eti sasa hivi wametupa umeme bila kukata, kama tatizo lilikua ni maji mvua imenyesha lini?
Mitambo ya kisanii mliyoleta imefungwa lini maana inatumia gesi na kampuni zinazoleta gesi kutoka mtwara mnasema zina matatizo na pia ni wakwepaji wakubwa wa kodi (refer report from sweden inaitaja wazi kampuni inayoleta gesi toka mtwara kuwa ni wezi, mkwepaji kodi yoyote ni mwizi).
Ninachoweza kusema wana JF wenzangu ni kwamba baada ya kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini tunarudi gizani.
Naombeni Mchango wenu JF