Ngeleja, elewa kwamba rushwa si lazima utoe hela; mnachokifanya kupitia TBC1 hakifai

Heri yenu Dar kama mgao umepungua sisi Arusha mgao uko palepale watu Wa Dar wakija huku wanashangaa lakini ndo hivo.

Jamani hii nchi ielewe kwamba rushwa si lazima ufanye ufisadi kama Jairo.

Ngeleja akishirikiana na TBC wanatangaza mambo yao ambayo hayana tija kwa sasa huku akijua kwamba hotuba yake ya bajeti haijapita hii ni janja ya nyani ninachoweza kusema hatudanganyikiiiiiiiiiiiii! Halafu eti sasa hivi wametupa umeme bila kukata, kama tatizo lilikua ni maji mvua imenyesha lini?

Mitambo ya kisanii mliyoleta imefungwa lini maana inatumia gesi na kampuni zinazoleta gesi kutoka mtwara mnasema zina matatizo na pia ni wakwepaji wakubwa wa kodi (refer report from sweden inaitaja wazi kampuni inayoleta gesi toka mtwara kuwa ni wezi, mkwepaji kodi yoyote ni mwizi).

Ninachoweza kusema wana JF wenzangu ni kwamba baada ya kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini tunarudi gizani.

Naombeni Mchango wenu JF

Naamini kabisa toka moyoni mwangu kuwa Ngeleja na Jairo wangekuwa ni wa China hata matanga tungeshasahau siku nyingi!

Kama kweli Jakaya anawapenda sana hawa jamaa Jairo na Ngeleja basi atusaidie sisi wananchi kwa kuwatoa hapo wizara ya nishati na madini na badala yake awapeleke nyumbani kwake Msoga wakamsaidie huko; sisi hawatufai!! Jakaya nadhani ataacha kiburi na kusikiliza kilio cha wenye nchi!!

kwa mtizamo wangu,nadhan kila mmoja kwa nafasi yake ajaribu kumtrace mbunge wake friendly akimcctiza kuwa anaaminiwa na wananchi kuwa anatetea maslai ya wananchi,hvyo ikitokea hotuba ya bajeti ya nishati na madini icpolenga kumsaidia mwananchi basi mbunge huyo asiiunge mkono coz wao ndo wanaopitisha au kutopitisha.

Back
Top Bottom